Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wanuka mavi walisema hatutorudi SA, kuna yule dereva wa tipa USA alisema atcl haitokanyaga tena SA, kiko wapi? Yani huu mwaka ni mgumu sn kwa wanuka nnya.
Mi nangoja Air Tanzania ianze kwenda London na USA ila tunahitaji more Dreamliners au A350s! At least 4 long haul aircraft ili kutoyumba katika kutoa huduma!
 
Mzigo uko bandarini tayari... Ni kuwapasua tu nyang'au hawa nyongo zao..

Two EMU sets plus one EMU simulator kwa ajili ya training kwa madereva wapya... Hata hao kundu dwellers wakihamia electric watakuja kujifunza hapa... Same to other neighbouring countries.

Na mzigo wa 200+ wagons.... Kuanzia katikati ya next week mambo yatakuwa hadharani. The waiting is over.... Yani mpaka ruto asemeee tenaaaa
 
Vichwa ya double decker lini vinatua port?
 
Vichwa ya double decker lini vinatua port?

Ngoja nitafatilia kwa wadau kujua... Ila nadhani vichwa vilivyopo vinaweza kuwa mounted kwenye hizo behewa za ghorofa... Itakuwa kuna mambo tu labda wana angalia ili waweze kuyatumia.

Meli mbili ziko bandarini kwa hao joka wawili na simulator yake... Na hizo wagon za mizigo 265.
 
TESLA zimeingia bongo

20241201_221602.jpg
 
It seems you are acting God how on earth could you tell Ruto"s mind from his words?
Coz Kenyans comprehend politics and all it’s gimmicks….words that carry heavy meaning…there is more to politics than just sycophancy to an individual or party…but we know that’s like alien thoughts to you…😄
 
Back
Top Bottom