Wazee wa Nairobi Ultra modern Green park Terminal will be one of KIND IN AFRICA kipind Magufuli Bus Terminal ipo launched mpooo
Teargas.
View attachment 3166444
View attachment 3166471
Baada ya kuwekewa KALED light mnajikuta mmemaliza kuifanya MODERN even kituo cha Daladala Tabata ni afadhali
View attachment 3166456
SGR Ikaja ghafla imekua Outdated baada ya Tz kuonesha maana ya SGR. Siku hizi hawana hamu ya kuiweka imagine mtu anatetea Extended Canopy?
TALANTA LOADING..........
Kila mradi wa ukunya Mbongo akiujenga kinachofata ni hasira kuwa wamepigwa kwenye mradi wao.