babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
From "mkandarasi amekimbia site" to "jengeni stadium za maana"Unateseka ukiwa wapi chuchunge mzee wa tuletee 1km niondoke JF.
From "mkandarasi amekimbia site" to "jengeni stadium za maana"Unateseka ukiwa wapi chuchunge mzee wa tuletee 1km niondoke JF.
Ni miaka mingi sana tunayo stadium ya 60,000 au unajifanya hujui?
Kula chuma hicho😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=d0vFXnBWWF0
And you believed Ruto? Good riddance trusting his words.Tulia kama unanyolewa! Alichokiri rais wako hadharani ni project iliyokuwa ikijengwa kitambo, mbumbumbu kama wewe mlipinga kila tulichoa waambia.
Ukileta evidence I ya Mchina natoka JF, hiyo yenu sitashangaa kama ni Mchina by the way.Lakini wa kwetu tofauti na nyie ni ya muchina sio muda kila kitu Kenya kitakuwa muchina owned Hadi flyover GOK mnashindwa kujenga wachina wanajengea Kisha kuwatoza milele
Nobody builds mini stadiums in this century for important functions.Unateseka ukiwa wapi chuchunge mzee wa tuletee 1km niondoke JF.
I thought uliniblock, Kumbe hata wewe unachungulia comments zangu kisirisiri?😂😂From "mkandarasi amekimbia site" to "jengeni stadium za maana"
🤣🤣🤣🤣And you believed Ruto? Good riddance trusting his words.
Okay, continue believing. The day atasema something that doesn’t impress you pia believe them sawa?🤣🤣🤣🤣
We believe in facts, na ni muda tumesema haya na mengine mengi.
Kwani unapinga.? 😂😂 wewe na Ruto who knows better about kenya.?Okay, continue believing. The day atasema something that doesn’t impress you pia believe them sawa?
Kupinga nini? That Kenya is better than Tanzania in almost everything? Every statistic says that Kenya is better than Tanzania almost everywhere.Kwani unapinga.? 😂😂 wewe na Ruto who knows better about kenya.?
Maneno ya wivu tu; tena wa kinyang'au😁Unaongelea Hilo ugly godown donated by China?
Ile yenu ya viti vya baa imefikia wapi?Nobody builds mini stadiums in this century for important functions.
Maneno yake sio mageni.mjini usishangae ikikamilika wakaandamana kisa wameibiwa Talanta. Like tulipoweka mchongokoFrom "mkandarasi amekimbia site" to "jengeni stadium za maana"
Ila wenzako wamefura Twitter. KawaambieKupinga nini? That Kenya is better than Tanzania in almost everything? Every statistic says that Kenya is better than Tanzania almost everywhere.
Raisi wako jana ame confess that Tz is ahead of Kenya, wewe bado umekomaaa 😂😂😂, je hiyo sio dalili ya ukichaa.?Kupinga nini? That Kenya is better than Tanzania in almost everything? Every statistic says that Kenya is better than Tanzania almost everywhere.
Ila Ruto huyo huyo alipokua USA for Major Non NATO ally walikua na midomo mirefu kuliko train shade yao wanayojifariji nayo.Jamaa huwa ni mpumbavu 😂😂😂namu enjoy sana.. ni aina ya yule mtu ambae he thinks he knows better kumbe ni fala tu mmoja. Raisi wake kawavua nguo sasa. 😂😂😂
Vichaka vyote vinafyekwa uzuri wakiendelea kukomaza shingo ni afadhali, kuliko wangeamka waanze figisu kwenye uchumi.Jamaa huwa ni mpumbavu 😂😂😂namu enjoy sana.. ni aina ya yule mtu ambae he thinks he knows better kumbe ni fala tu mmoja. Raisi wake kawavua nguo sasa. 😂😂😂
Sijajua ni nani ila nina uhakika ni chuchunge. 😂😂😂Maneno yake sio mageni.mjini usishangae ikikamilika wakaandamana kisa wameibiwa Talanta. Like tulipoweka mchongoko
Ndio ndio Chuchunge toka day one amezoea kurusha maneno. Wakati tunazindua Madaraja ya kisasa Tanzanite, na Kigogo busisi walikua wanatuletea MOMBASA bridge limejaa adjectives kama zooteee. Mind you Kigogo busisi ilizinduliwa ujenzi mbele ya Mombasa.Sijajua ni nani ila nina uhakika ni chuchunge. 😂😂😂