Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What the meaning of “as at” in case ulienda shule. Wewe kila siku you expose to us hiw deep your stupidity is always is.
"As at" ni specific point in time nimeshakuambia hapo juu. Hakuna kitu kama monthly money circulation chizi wewe.
Report ikisema as at September inamaanisha walipofanya stock September walikuta kiasi hicho cha pesa kwenye mzunguko na sio mzunguko wa mwezi fala wewe.
Elimu ya mama Ngina ni rubish kabisa.
 
What the meaning of “as at” in case ulienda shule. Wewe kila siku you expose to us hiw deep your stupidity is always is.
Kwahiyo nikikuambia kuwa balance sheet yako ni KSh 1000 as at 31st December 2023 unataka kuniaminisha ni hela ya December tuu. Acha ujinga 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Teargas NairobiWalker nairobae
Hii ndiyo reality

1732165572722.png
 
Ongeza statistics za mizigo ndio uone ulivyo fala.
Hapa tunazungumzia abiria, hatuzungumzi mizigo.. tuliwaambia kwamba Tanzanians ni traverllers kuliko kitaifa chochote ukanda huu, imagine tunazo kampuni za mabasi nyingi kuliko kampuni zote za mabasi ukanda huu combined na bado tunapiga nyomi treni zetu kuwaliko. 😂😂 na hapo treni ze bado hazijaanza kuunganisha miji yetu mikubwa miliwili yenye buashara zaidi Tz ambayo ni Dar-Mwanza.
 
Barabara za hivi+ mazingira zipo nyingi sana huko northern Tanzania. Tanga-Kilimanjaro-Arusha-Manyara. Kwa waliowahi kusafiri hii route wanajua vyema(uliza hata wakenya wenzako). Barabara nzuri za kupendeza all the way.
Zingekuwa nyingi Tanzania haingekuwa na only 10,000km of paved roads bwana Baboonman.

IMG_0519.jpeg
 
Back
Top Bottom