Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What so special kwene hii barabara basic..?
Tangu lini baboon akajua anything kuhusu barabara?

IMG_0519.jpeg
 
Huyo alishinda DV Iile shindano la green card alafu akaenda US akabeba box baadae akaingia kwenye udereva wa maroli zen akakopeshwa roli akiwa kibarua huku analipa taratibu, kule marekani kazi za kipuuzi kama hizo hawafanyi wazawa, wanafanya kina mwaiofhawaii

Huyo ni dereva wa malori ya taka taka huko US..

Ila permit yake iko na mashaka! Ni kati ya wale Trump atawatimua huko. Watabaki wenye green card na kazi za kitaalamu tu. Sio madereva wa gari za taka kama jaluo mwaiofhawaii ...huko Hawaii Watabaki Afroo Chinese tuu..
 
Futa begi vumbi..

Kunguni wote Trump anawapulizia dawaa...

Anza kuandaa mazingira ya kurudi ochaa... Au uwahi flat za bati kibraa
Preach that to criminal non citizens…. If he strips citizenship to law abiding folks,then he must do the same to his wife … so keep dreaming….ain’t happening
 
Hapa unawatchball ukiwa 1km far!!!!
Typical kasarani vibes.
Upuuzi.
Huna exposure wewe jaluo, unachojua ni kugombania ugali tu, FYI, mpira ukiangalia kwa mbali ndiyo unaona kwa mapana yake, ushawahi jiuliza inakuwaje yule shabiki anayekaa juu kabisa pale Camp Nou? Alex Ferguson ilifika kipindi akiwa haelewi anatoka chini anaenda juu ili apate majibu mana anaona vizuri akiwa mbali na pitch kichaa wewe jaluo mnuka mavi, the issue is you don't have caf and fifa approved stadium so far.
 
Back
Top Bottom