Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Mmeanza tena kuhangaika, siku hizi hamtutishi kwa ground vitu viko wazi, eti mpk CapetownKumbe Mabati Rolling Mill was in the nomination lakini imepigwa kofi na JKIA.
View: https://x.com/KenyaAirports/status/1847540753402056872
Habari yako Simon Leole.
Mabati rolling is not an airport worth recognition.Mmeanza tena kuhangaika, siku hizi hamtutishi kwa ground vitu viko wazi, eti mpk Capetown
Acha uongo nilikuwa kwenu juzi tu hadi wafanyakazi wa JKIA wenyewe wanatii Julius Nyerere T3 ni noma, bado Msalato hapo…Kenya mmesimama, mnapigwa mikasi tu na tax za Zakayo.Anachagua pakuweka, si mlikataa financial bill, amekuja kivingine kimya kimya, ni mwendo wa kodi kausha damu, kazi mnayo 😂Pole kwa hasira. JKIA is the leading airport in Africa and KQ is the leading airline in Africa. Sasa ukipenda upige nduru😂😂
Unataka picha za Wilson Airport?!😀Mabati rolling is not an airport worth recognition.
Ingekuwa Mabati rolling mill ni no a basi mbona hawakupata tuzo la the best airport in Africa? Na hao wafanyikazi wenye walitii ni akina nani? Ebu wataje tuwajue.Acha uongo nilikuwa kwenu juzi tu hadi wafanyakazi wa JKIA wenyewe wanatii Julius Nyerere T3 ni noma, bado Msalato hapo…Kenya mmesimama, mnapigwa mikasi tu na tax za Zakayo.Anachagua pakuweka, si mlikataa financial bill, amekuja kivingine kimya kimya, ni mwendo wa kodi kausha damu, kazi mnayo 😂
Hiyo Wilson ndio size ya Mabati Rolling Mill yenu.Unataka picha za Wilson Airport?!😀
Ila majamaa kila siku yanaumia aisee, ndiyo maana yana life expectancy ndogo EA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii talanta mtafugia kuku,kunyan na soccer wapi na wapi!
Unavaa masuti yametafunwa na ng'ombe ndo yakatemwa viatu kama watu wa mjengoBro achana na takataka, mbona uvae rugs?
Wewe ni masikini mkuu mbona Iko wazi umevaa masuti mabovu maviatu kama ya Masai huo utajiri umeutoa wapi?Bro mimi sio maskini kama wewe, no wonder unavaa rugs. Hapo hata sio kwa fuel, hapo ni penye huwa napark gari.
Kumbe unawajua mpaka wachezaji wa ligi kuu bara. Si bure utakuwa unaifuatilia sana timu gani huwa unaisapoti huku? 😁
Ila ule mwembe ndio Airport sio?Mabati rolling is not an airport worth recognition.
Nginjangija linanuka diesel na Moshi wa makaa ya mawe wewe unaitwa luxurious?
Majuu ndo wapi wewe kibera dweller?Huwa anatupostia hapa picha eti ako majuu. Naona kama anaambianga mtu ampigie picha amtumie. 😂😂😂.
Mjiandae talanta kufugia kuku,2027 ni TZ na uganda ndio zita host AFCONHeri tulipe kuliko kuenda kujiaibisha AFCON vile Tanzania imezoea.