Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

michango wakuuu alieona amwambie na mwenzie 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

View: https://x.com/ortamisemitz/status/1858413261789581661?s=46

IMG_1187.jpeg
 
Kwani vichororo sio barabara? As long as they are tarmacked we count them as paved roads. In Kenya we don’t leave any stone unturned, are you aware that every road in Kibera slum is tarmacked?

Right now we are tarmacking all roads in Korogocho slum

View attachment 3155689
View attachment 3155690
View attachment 3155691
View attachment 3155692
View attachment 3155693
Kuna binadamu kabisa wanaishia hapa 👇👇
1731959077794.jpeg


Kundustan mnaishije Kwa Hali hii? Where is humanity and dignity?
 
Kuna wapo
pesa za kuingiza mashabiki bure uwanjani zipo alhamdlah ila pesa za kusaidia wahanga tuendelee kuchangia wakuu 🙌🏻

juzi kuna shekhe wa arusha kanunuliwa discovery 4 la million 100 mashallah pesa ipo alhamdlah


View: https://x.com/tanfootball/status/1858474043202056598?s=46

mnapenda sana kupotosha na kutengeneza uongo. Sijui huwa mnafaidika nini. Kila kitu kiko wazi na kimetilolewa maelekezo, ila bado mnataka kupotosha watu tu.

Kwani wewe hujui kama serikali imegaramia kila kitu kwenye hili janga??

Wamegaramia matibabu, wamegaramia uokoaji, wamegaramia misiba yote. Na watu waliojaribu kuchanginsha michango kihuni wamekamatwa. Wewe hayo yote hukui.

Watu kutoa pole yao .....ni dhambi?? Kuweka hiyo namba kama mtu anataka kuchangia chochote maana yake serikali haina hela ya kusimamia hilo jambo.??

Nyie vipi!!!!??
 
Back
Top Bottom