Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Umemshika makende😂😂🤣.Lungalunga border Sasa ndio Moshi?😂😂
Bro, Lungalunga Iko huko pwani. Zaidi ya kilometer 400 kutoka Moshi. Kubali unatumia video za watu ukidanganya ni zako.😂😂
Jamaa hajui penye moshi iko na pia hajui penye lungalunga iko, ni wapi anajua Tanzania tofauti na kwao?😂😂