Watakuonyesha ile ya 2017 ya World Bank. 😂 😂Construction industry in Kenya is bigger than all construction values in East Africa.
View attachment 3155480
Tutajie hizo Highways zenye zinazidi 5000km,niko pale napata kahawa.Are you really this stupid? Nani amekuambia our Highways hazifiki 5000KM? Yani huko Tanzania huwa mnakubali tu chochote mnaambiwa kuhusu Kenya?😂😂
Wanasema hakuna projects zinaendelea Kenya while we consume more cement than them😂😂Watakuonyesha ile ya 2017 ya World Bank. 😂 😂
Endelea Kungoja, our paved road network is now at 23,000KM. Pole kwa hasira.Tutajie hizo Highways zenye zinazidi 5000km,niko pale napata kahawa.
Yaani wewe nyang'au bado unafikiri watu wote wa majuu wanaongea Kiingereza ha ha ha😁Majuu gani na hata kuunganisha two English words...
H wewe kama mwalimu Ebu tuambie ni lugha gani wanatumia US pA kama sio English, ama wanaongea Kiswahili huko?Yaani wewe nyang'au bado unafikiri watu wote wa majuu wanaongea Kiingereza ha ha ha😁
Kalaga baho kama unafikiri majuu ni US peke yake😁H wewe kama mwalimu Ebu tuambie ni lugha gani wanatumia US pA kama sio English, ama wanaongea Kiswahili huko?
Our Highways alone is 11,000KM of paved roads. Ukirudi unitag😂😂Tutajie hizo Highways zenye zinazidi 5000km,niko pale napata kahawa.
Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!Yani udownload video mtandaoni utandanganye sisi ambao tumetembea hizo sehemu? Kuna Border Moshi? 😂 😂 Mnapenda kujifanya wajuaji sana na uongo uongo. Hapo ni Illasit wee poyoyo. Kutoka Moshi hadi hapo takriban 80km.
Halafu kabisa umeongeza story eti ulikuwa na demu wa Kikamba. Unatamani sana dem wa Kikamba eeh?😂😂
Ukishashikwa kubali😂😂Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!
Mengine unaacha yakupite. Ujuaji hauna faida ya yoyote. Kukaa kimya ni busara.Serialism ya Tanzania imeshindwa kuokoa watu wenye wamefunikwa na gorofa ilianguka Kariakoo, I think Tanzanians are just lazy right from their President down to the unborn baby. Gorofa enyewe ni ya 2 floors, sijui ingekuwa za 9-10 floors kama zile za Nairobi ingekuwa aje?
Nyinyi watanzania sijui mnakuanga aje? When buildings fall in Nairobi mnashingilia na kuzipost hapa 2 weeks none stop, lakini building moja ikianguka Tanzania mnataka tuwe na utu?Mengine unaacha yakupite. Ujuaji hauna faida ya yoyote. Kukaa kimya ni busara.
Hii battle isikufanye ukose utu. Watu 16 wamekufa pale.
Hii road ipo lodwar au lokitong.? 😂😂😂lokitong yenye wananchi wanakosa umeme two months in a row. 👇🏾Bongolala, Lokitaung has better roads than most parts of Dar is slum View attachment 3155334View attachment 3155335
Thanks for dreaming methuselah.Come next year u will remain hunger stricken country!
Lungalunga border Sasa ndio Moshi?😂😂Lungalunga border ipo wapi,then sikiliza clip ya pili demu ananionya na jamaa hapo kilimani kuna wezi wa simu na nikafunga kioo,sikiliza kiswahili chetu,eti nidownload online!
Hii road ipo lodwar au lokitong.? 😂😂😂lokitong yenye wananchi wanakosa umeme two months in a row. 👇🏾
View: https://youtu.be/kZ5axxxUYeo?si=9iRDl4oMjMCF41u1. 😂😂😂 uongo mtaacha lini.?
Wanakuwanga watu wa kulialia alafu wanadhani the rest of the world wataruchukulia wanavyotuchukulia.😂😂Nyinyi watanzania sijui mnakuanga aje? When buildings fall in Nairobi mnashingilia na kuzipost hapa 2 weeks none stop, lakini building moja ikianguka Tanzania mnataka tuwe na utu?
What kind of double speak is that? Ama za Kenya pekee ndio zinafaa kushangiliwa zikianguka?
NairobiWalker come see this😂😂