The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Tunazungumzia idadi kubwa ya Wakenya na sio wewe. 😂 😂
Hakuna mwenye hela zake akaokota matikitimaji akala.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1829572627922628639
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunazungumzia idadi kubwa ya Wakenya na sio wewe. 😂 😂
Hakuna mwenye hela zake akaokota matikitimaji akala.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1829572627922628639
Ingekua huko Ukunyani hivyo viroba vyote vingesombwa kusaidia baadae, nani mwenye njaa sasa na umasikini? Wa kujiita matajiri hadi kula Matikiti yaliyoanguka.
Tz unaona watu priority zao ni kumtoa dereva salama not njaa
View: https://vm.tiktok.com/ZMht82k41/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data & Fast - Apps on Google Play
1kg sugar dar ni 2800 to 3000 sijaona sehemu sugar inauzwa 2500 dar, kwa tanga ni 3000 per kg, mwanza,kigoma, musoma na bukoba inafika 3200 to 35001kg sugar in Tz ni TSh. 2500 achana na takwimu za mama Ngina
jana guinea kashinda na sisi safari imeshakua ngumu 😂😂😂😂😂Hawa nilishawaambia hawato qualify kwa miaka mingi ijayo, hata 2027 pia hawatakuwepo afcon mana hawatoandaa.
Mm hili suala la umeme linanishangaza sn aisee, magufuli alisema bei itashuka kabisa lkn hakuna cha kushuka mpaka leo, Africa ni mavi sn.unapozungumza uchumi maana yake unazungumzia kuhusu watu, ili watu wajikwamue na umaskini bidhaa kama mafuta, chakula, umeme, vifaa vya ujenzi leo hii tunajisifu tunaviwanda vya cement ila bei tu ya dar ni over 20k kwa 50kg bag vipi bei ya kigoma na bukoba? tunajisifu kwa sasa over 70 tunazalisha umeme kutumia hydro lakini ajabu bei ziko pale pale
unapozungumzia uchumi unazungumzia watu
Wewe ulitakaje? Kwa nini hukuenda kuokoa unaongea ujinga hapa?juhudi gani jengo limeanguka toka saa nne uokozi unakuja mchana au na hili pia tushangilie
Aisee yn wameipost hiyo road mpaka imechakaa, kweli Kenya hakuna miradi aisee.We have plenty of those in Tanzania and as it seems this is your only longest road which was recently constructed thats why you keep posting it here everytime.
Umewahi sikia saruji imedoda au ujenzi umepungua kisa Dar bei ni 20k? 😂😂😂😂unapozungumza uchumi maana yake unazungumzia kuhusu watu, ili watu wajikwamue na umaskini bidhaa kama mafuta, chakula, umeme, vifaa vya ujenzi leo hii tunajisifu tunaviwanda vya cement ila bei tu ya dar ni over 20k kwa 50kg bag vipi bei ya kigoma na bukoba? tunajisifu kwa sasa over 70 tunazalisha umeme kutumia hydro lakini ajabu bei ziko pale pale
unapozungumzia uchumi unazungumzia watu
hio ndio fact utake usitake, upende usipende fact itabakia kua uchumi ni watu no matter what 😂😂😂😂😂😂Umewahi sikia saruji imedoda au ujenzi umepungua kisa Dar bei ni 20k? 😂😂😂😂
Saruji xinaisha na viwanda vipya vinajengwa tafsiri yake ni kwamba uwezo wa purchasing power umeongezeka.
Punguza kuwa mbumbumbu wa kufanya analysis wakati hujui kitu 😁😁
Kwa mama mambo ni shere 🔥🔥
na ndio watanzania walitegemea hvo bei ya umeme ishuke ili viwandani bei za bidhaa zishuke ndio uchumi unaongelewa hapa, kwa sasa umeme tunaotumia ni over 75% ni hydro lakini ajabu bei iko palepaleMm hili suala la umeme linanishangaza sn aisee, magufuli alisema bei itashuka kabisa lkn hakuna cha kushuka mpaka leo, Africa ni mavi sn.
kazi ya jeshi la uokoaji ni nini na wanalipwa pesa za nini?? jeshi la polisi wanalipwa pesa za nini??? zile ambulance zilizonunuliwa kwa fujo ziko wapi au watu washachomoa spare ziko juu ya mawe sasa hvi?? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake??Wewe ulitakaje? Kwa nini hukuenda kuokoa unaongea ujinga hapa?
Ndio wako wanafanya kazi Yao wewe unaongea upuuzi watu wako kazini ungekuwa jirani ungeshikishwa adabu kwanza👇👇kazi ya jeshi la uokoaji ni nini na wanalipwa pesa za nini?? jeshi la polisi wanalipwa pesa za nini??? zile ambulance zilizonunuliwa kwa fujo ziko wapi au watu washachomoa spare ziko juu ya mawe sasa hvi?? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake??
Kuna facts tofauti na kwamba saruji xinaisha madukani na viwanda vipya vinajengwa?hio ndio fact utake usitake, upende usipende fact itabakia kua uchumi ni watu no matter what 😂😂😂😂😂😂
saruji zinaisha zinanunuliwa na kina nani zaidi ya wale wanaokula kwa urefu wa kamba, purchasing power ipi wakat gap between rich and poor inazidi kupanuka
tuseme abduli angefukiwa na kifusi pale je tungeenda brazil au ndio ng'ombe wa maskini hazai
I think Tanzanians are just naturally dirty.
This is Kariakor
View: https://x.com/IAMartin_/status/1857833794868269240
Watanzania wote I think hawajui what purchasing power of a person is😂😂🤣Alibadilishs mjadala nilipomueleza akaelewa alikuwa hajui kitu. Sasa ameanza kuponda Kenya hatuna purchasing power using my definition. Hawezi kubali tu akikosea.😂😂