AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,113
- 2,965
akili gani wanayotumie ikiwa escavators and wheeloader zinakuja over 15 hrs baada ya tukio alaf tunaongea nn hapa
View: https://x.com/_itsmalume/status/1857895079651979399?s=46
Chief umebadilika sana.. Achana na ligi za kitoto.
Mtandaoni mambo ni mengi usiokote Yote. Greda zilifika mapema na dumper trucks za kutosha. Ila ile go ahead ya kuanza kazi ndio ilichelewa.
Na Greda zilifika mapema maana kuna zilizokuwa jirani tu za mkandarasi wa SGR Yapi Merkezi. Ndio Gredaza za kwanza kufika eneo la tukio saa 3 zilifika 2.
Halafu ujue kuendesha excavator kwa mjini kama iko mbali ni changamoto... Speed hakuna mule.. Plus watu walijaa kushangaa shangaa hivyo movement haikuwa rahisi. Bongo elimu ya majanga bado sana.
Ghorofa imeanguka ila bado watu wana panda maghorofa ya jirani ili kushangaa na kupiga chini. Bila kufikiri athari na usalama wa majengo ya jirani.