Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni propaganda za wapuuzi mkuu, jana nilikua hapo, kimsingi serikali imefanya wajibu wake, baadhi ya barabara zilifungwa kabisa katika kutekeleza hilo. 👇🏾View attachment 3154857hii ilikua ni saa 12 jioni, hapo watu walikua wanafukuzwa wasipite kwenye hii barabara ya msimbazi hadi junction ya Uhuru Wanajeshi walikua wengi mno.
hakuna shida mkuu tuendelee kushangilia tu
 
Hakuna construction boom ya gorofa mbili tatu mkuu. Au hili neno umelibadili maana .?
Baboonman mambo vipi na trouser ya mtumba ya 30 bob bwana😂😂👇👇

IMG_0764.jpeg
IMG_0765.jpeg
 
ukisema ligi za kitoto unakua na maana gani mzee??

kaka aliekwambia grader na wheeloadeea zilifika mapema ni nani??

hebu chukua mfano mdogo ndani ya kifusi angekuwepo mtoto abduli je brazil tungeenda?? au ng'ombe wa maskini hazai siku zote???

tumeambiwa serekali imenunua ambulance nyingi sana ziko wapi au watu washachomoa spare ziko juu ya mawe ikiwa wagonjwa wanabebwa kwenye suzuki carry, aibu gani hii kama taifa au unataka tushangilie kitu gani hapa, wanakuja viongozi lukuki misafara inazuia mpaka shughuli za uokoaji

juzi nimeona wabunge kutoka spain wanatoa tope barabarani sisi kwetu viongozi wanakuja wanakaa kwenye viti wanakunywa maji na kupiga picha ili waonekane kwa jamii na kwa rais

hvi bro nikuulize swali wewe kwa population ilivo kariakoo unahisi gorofa limefukia watu wapatao wangap???

weka akilini hili ni janga la kitaifa na hatuongei kufurahisha tunaongea tujifunze ikiwa jeshi la uokoaji linatumia 5 to 6hrs kuja kwenye tukio ambalo liko city center basi tunasafari ndefu sana

Mimi ndio nakwambia greda zilifika mapema sana pamoja na dumper trucks.

Ligi za kitoto ndio kama hizi za ubishi tu bila kuwa na facts. Nilikuwepo eneo la tukio nusu saa tu baada ya janga kutokea. Na hizo greda zilifika muda huo huo.

Huu uzi unaonesha watu wana interest na watu badala ya kuwa na interest na Nchi kwanza. Of which it's very bad. Siku jua hilo hapo kabla
 
Mimi ndio nakwambia greda zilifika mapema sana pamoja na dumper trucks.

Ligi za kitoto ndio kama hizi za ubishi tu bila kuwa na facts. Nilikuwepo eneo la tukio nusu saa tu baada ya janga kutokea. Na hizo greda zilifika muda huo huo.

Huu uzi unaonesha watu wana interest na watu badala ya kuwa na interest na Nchi kwanza. Of which it's very bad. Siku jua hilo hapo kabla
Kweli mkuu, mimi nilichelewa kufika eneo la tukio kama masaa mawili hivi, lakini greda nilizikuta.
 
Whaterver that navaa, you can’t afford. Chill. Vitu unavaa vipo allover JF, everyone knows you.
Bro, nobody anaezashindwa kupata 30 bob hapa kununua hii takataka 😂😂👇👇

IMG_0765.jpeg


Nobody anaezashindwa pia kupata 20 bob ya kununua Pepsi 😂😂👇👇

IMG_0764.jpeg
 
Back
Top Bottom