Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hujui anything concerning economic, na watanzania wote are dunderheads just like you.
Alibadilishs mjadala nilipomueleza akaelewa alikuwa hajui kitu. Sasa ameanza kuponda Kenya hatuna purchasing power using my definition. Hawezi kubali tu akikosea.😂😂
 
Ambulance zimejaa,ulita iingiaje hapo kwenye vifusi? 😂😂

Tunamalizia miradi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DCcMaLyOY8h/?igsh=MTN5ZDV4cTExOXhieQ==

hio carry iliingiaje hapo kias kwamba ambulance isiingie je abduli angepatwa na hilo tukio je tungeenda brazil??? au ndio ng'ombe wa maskini hazai

zile ambulabce ziko wapi pesa kibao zilitumika kununua au watu washachomoa spare zimewekwa juu ya mawe??? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake au sio
 
Jadili mantiki ya mada sio picha za majengo.

Tunahitaji uchumi imara sio majengo marefu pekee.

Wakati mnachinjana kisa high cost of living with bigger GDP coupled with high risee buildings iliwadaiaje msiuane? Wacha ujinga
unapozungumza uchumi maana yake unazungumzia kuhusu watu, ili watu wajikwamue na umaskini bidhaa kama mafuta, chakula, umeme, vifaa vya ujenzi leo hii tunajisifu tunaviwanda vya cement ila bei tu ya dar ni over 20k kwa 50kg bag vipi bei ya kigoma na bukoba? tunajisifu kwa sasa over 70 tunazalisha umeme kutumia hydro lakini ajabu bei ziko pale pale

unapozungumzia uchumi unazungumzia watu
 
There was time as recent as the 90s when these two dwarf towers were the tallest buildings in whole of Tanzania …Mombasa had taller buildings than Dar then…..imagine that … and now we can’t sleep coz of 3 blue towers …🤣😄
Hizo Tower unajua zilijengwa lini? I assure u Mombasa still doesn’t have towers beating these two!
 
Are you aware that Kenya has more people categorized as middle class by World Bank compared to Tanzania?
Middle class has different interpretation in Africa in kenya middle class ni salaried employee living in a rented bed sitter while in Tanzania middle class ni house owner with small to medium business enterprise.
 
Tena mnasingizia subsidy? Vile alikuwa anasema unga ya Ugali kilo moja ni 1USD hamkujua mambo ya subsidy? Kwanza who is that Rono? Hakuna any subsidy in place.
Mnakopa IMF mnunuliwe unga na serikali, Kunyaland ni taifa la mafala kweli, wengine wanakopa watengeneze productive projects ninyi mnapanua matumbo

Screenshot_20241117-103023.jpg
 
There was time as recent as the 90s when these two dwarf towers were the tallest buildings in whole of Tanzania …Mombasa had taller buildings than Dar then…..imagine that … and now we can’t sleep coz of 3 blue towers …🤣😄
Mbona mzee unaongea uongo we mtu mzima mkimbizi.? Hizi gorofa ni 20 floors each, haya utuambie mombasa ilikua na jengo gani refu kuliko hizi. 😂😂😂 hizi twin towers ziliisha kujengwa 2006. Na mpaka sasa hakuna jengo lolote hapo mombasa lenye hadhi ya hili jengo. 👇🏾
IMG_2922.jpeg
IMG_2923.jpeg
 
See what Harambee Stars head coach said afrer elimination. He nailed it perfectly on status of Kenyan football 🤣🤣🤣
Hawa nilishawaambia hawato qualify kwa miaka mingi ijayo, hata 2027 pia hawatakuwepo afcon mana hawatoandaa.
 
Back
Top Bottom