Nikajua Nyerere & Mwendazake walimaliza kujenga kumbe Bado ππzineanzwa kujengwa toka nyerere hzo barabara ππππππ
mm hakuna kitu utanidanganya mzee ni kama unajisumbua tu ππππ
Hivi unajua maana ya purchasing power wewe ng'ombe?ππMnachoshindwa kuelewa ni kuwa nyie mnapokea mishahara mikubwa kwasababu cost of living Kenya ni kubwa sana unlike Tanzania. Hela nyingi inaingia mfuko wa kulia na nyingi inatokea mfuko wa kushoto mwisho wa siku nothing is left in your pockets.
Our purchasing power iko juu kuliko yenu with 1USD I get more products in Tz than in Kenya.
Huwezi elewa maana wewe ni kichwa ngumu na hater ππsoko linajengwa na serekali kuu au halmashauri hapo sijaelewa bado ??ππ
leta miradi ya mikopo ndani ya miaka mitatu ya over 20b usd alaf tuendelee kujisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina ππππππ
tuna waziri yuko kwenye fedha nae anamiliki team ya mpira hahahahah
Wametenga kutoka mifuko ya serikali ambayo Ina over 20b usd.wametenga kutoka kwenye mfuko gani niambie miradi inayofanyika usinambie miradi ambayo haipo ni hewa ππππ
shida yako ww una mihemko sana ukipewa fact hutaki
over 20b usd ndani ya miaka 3 alaf tunajisifu tunakusanya kodi na tozo za kila aina πππππππππ
leta miradi ya over 20b usd in just 3 yrs tucheke pamoja
Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?ππBy that logic Kenya Airways is a Dutch Airline.
The largest shareholder is the Government of Kenya (48.9%), with 38.1% being owned by KQ Lenders Company 2017 Ltd (in turn owned by a consortium of banks), followed by KLM, which has a 7.8% stake in the company.
Maamuzi magumu ni haya hapa ππhayo madini unayojisifu nayo leo bila maamuzi magumu ya kubadilisha sheria na kujenga masoko ya madini unafkiri ingekuaje ???πππππππ
au ww unafkiri ilikuja kwa bahat nasibu tu, fact haitabadilika hata ufanye nn, jamaa hayupo miaka mitatu na bado anawajambisha tu
Bila shaka sio tuu ni Maendeleo Bali ni fursa Kwa Diplomasia ya Nchi,Heshima Kwa Rais na Nchi na kufungua Tanzania Kimataifakuitwa G20 ndio maendeleo??ππππ
Mimi sidanganywi na mtu yeyote ninajua.ππππππππππ
so ulidanganywa tozo ya miamala inakwenda wapi???
au tuseme tarura iko kwenye madeni pia ??
Hivi ruto must go ilishia wapi maana Luos wengi mlikuwa butchered mfano yule mdogoake omondi lakini ruto anadunda tu au ndo vile tena maisha ya mkenya hayana thamani?Sawa shoga.
Ndondo Cup ikasome π π πligi kuu ya kenya ππππ
View attachment 3153394View attachment 3153395View attachment 3153396View attachment 3153397View attachment 3153398
NairobiWalker naona leo kaamka usiku wa manane kujibu comments za JF. This girl is real jobless.Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?ππ
Hey slum dweller uko fine?Unalinganisha 7.8% na 41%? Uko sawa akilini?ππ
kumbe sio maendeleo basi wananchi wanahitaji zaidi maendeleo kwanzaBila shaka sio tuu ni Maendeleo Bali ni fursa Kwa Diplomasia ya Nchi,Heshima Kwa Rais na Nchi na kufungua Tanzania Kimataifa