Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Remember 80% of those cars end outside Tanzania 😂😂🤣Tanzania car imports from Japan ni quarter ya all Japanese vehicles imported in Africa.
Remember 80% of those cars end outside Tanzania 😂😂🤣Tanzania car imports from Japan ni quarter ya all Japanese vehicles imported in Africa.
The only impressive infrastracture from Nairobi is chinese expressway and Thika road only. Vingine hata Burundi inavyo.
Si bora ingekuwa palm oil. Diesel, petrol, kerosene and Jet A1 are all considered Kenyan exports to Uganda.Palm oil?
Nasubiria mzigo wa yutong na trucks nione nani zaid kwa africaTanzania car imports from Japan ni quarter ya all Japanese vehicles imported in Africa.
Unajua sheria ya reflective materials barabarani. What colours are required and on what side of the car and their sizes?Tanzania must be a very boring country, what colors should i paint my vehicle kulingana na sheria ?
Watu mpaka wameamua kufungua ofisi SI mchezoSisi hatufanyi vitu kwa kukurupuka wala kushobokea watu lazima utaratibu ufuatwe.
Hiyo painting ndio mmekuwa mkijaribu lakini creativity imewashinda mkabaki na kubandika tu stickers😂😂Unajua sheria ya reflective materials barabarani. What colours are required and on what side of the car and their sizes?
Sasa wewe gari lote unapaint hovyohovyo with various reflective colours road safety mnaichukuliaje huko kwenu?
Na karibia wote wamerudisha majeshiNaweza kukupa mifano ya wafanyabiashara walio hamisha baadhi ya biashara zao nchi nyingine kipindi cha Magu kama Zachariah Hanspope Zambia, Petrofuels Zimbabwe, Botswana na Namibia, Mount Meru Rwanda the list is long sasa wewe leta list ya watu waliohamishia biashara zao Uganda.
Mama Ngina NGO😁
Tumewazoea. Kwa mambo ya magari hata Uganda imewashinda 😂😂🤣Mama Ngina NGO😁
Yutong Buses na trucks hakuna mpinzani AfricaNasubiria mzigo wa yutong na trucks nione nani zaid kwa africa