Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siongei kuhusu density, naonge kuhusu registered vehicles zenye number plate

Kenya kuna magari mengi kuliko Tanzania 👌🏻
Na kenya ina population ndogo kuliko Tanzania
Leta data za usajili nadhani tulishawahi ku compare hii mada hapo nyuma.
 
Leta data za usajili nadhani tulishawahi ku compare hii mada hapo nyuma.
IMG_0756.png
 
wivu mm wann utanisaidia nn hapa tunaongea facts unafkiri bila kuweka mazingira wezesh kwenye sekta ya afya aliofanya mageuzi makubwa sana magufuli haya unayoyaona leo yangekuwepo, hospital za umma zilikua hazina hata panadol alaf leo tumesahau mageuzi makubwa alioyafanya, hakuna sekta inayofanya vzr nchii ambayo haina athari ya magu hakuna na haitakuwepo

mm mwenyewe nilikua situmii hospital za serekali kwasababu ya urasimu lakini kipindi chake nilijaribu kwenda amana hospital watu walinyooka kama ruler na dawa zote zilikuwepo na huduma zote unapata kwa wakati na nafuu na hakuna x ray mbovu wala MRI 😂😂😂😂😂
Huyu mzee wa watu mpumzisheni sasa huu ni wakati wa mama kuchukua sifa maana ndie yuko kwenye usukani akija mwingine sifa zitahamia kwake pia. Kila zama na kitabu chake.
 
Huyu mzee wa watu mpumzisheni sasa huu ni wakati wa mama kuchukua sifa maana ndie yuko kwenye usukani akija mwingine sifa zitahamia kwake pia. Kila zama na kitabu chake.
Hapa watu wanalaumu kuwa hakuna kinachoendelea kama vile nchi imesimama,
Walau wangepongeza kwa mara kwanza tumeuza mzigo Uganda mara 3 kwa kile tulichouza mwaka jana
 
Ebu nikulize kitu, kuenda kwa Samia Brazil inasaidia watanzania na nini? Do you usually have brains?
Atakutana na viongozi wengine huko na kufanya nao informal or side talks ambazo zitasaidia katika kukuza ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi.
Ni platform nzuri ya kukutana na viongozi wa nchi zenye chumi kubwa duniani kwa wakati mmoja na kuwaelezea mipango na matarajio ya nchi yetu na jinsi ya kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na hizo nchi.
 
Improved public transportation system itapunguza foleni.
Mbona isipunguze za developed countries like Japan, China and USA? Their public transport system is far better than any country yet they still experience the worst traffic jam.
 
Kigoma wana mawese mkuu ni kuliongezea jitihada tu hili zao.
Mkuu mawese hayatoshi inakuwa kama korosho, wanatakiwa wawe na zao la Kila msimu. Kwangu naona kigoma wangehimizwa kwenye ngano, soya na kadhalika huku na mawese yakiendelea kama ilivyo kwa Lindi na mtwara ambako Kuna korosho lakini wanahimizwa kwenye ufuta, choroko na mbaazi
 
Hakuna mtu anakataa hilo because more than 70% population ya Kenya iko concentrate in a small area equivalent to 2 or 3 regions of Tanzania.
Ata ingekua 1 regoin how comes Kenya is richer than Tanzania
 
Back
Top Bottom