Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee bibi ako safe ama anadinywa??
lexus S300 machine
IMG_0051.JPG
 
wakenya ukiwashinda katika hoja huwa wanakimbila katika character assassination... smh.

ichoboy,jamaa wameshagundua kwamba you are way above their level in terms of good life....kitu pekee kidogo walichokuzidi labda lugha ya kingereza.

kwa vitu ambavyo umewaonyesha ni dhahiri shahiri kwamba umewazidi kipato mara dufu.

ndio maana wamekasirika na kuanza ku-attack personality yako badala ya hoja iliyopo mezani.

endelea kuwanyorosha comrade,tupo na wewe.
 
Azam watuletee free Epl matches.....hapo nita tupa hii gotv decoder yangu through the window bila second thought..
Unapendaje vya bureeee.......wakati wewe ni people from middle economy nation......na mnamapesa mingi na uchumi mkubwa mnao mpaka dunia inaisoma namba bila kusahau mna mamillionaore kobao 9900 kwenye hiyo idadi nawe ukiwa mmoja wapo

[HASHTAG]#STIPID[/HASHTAG] KENYAN
 
wakenya ukiwashinda katika hoja huwa wanakimbila katika character assassination... smh.

ichoboy,jamaa wameshagundua kwamba you are way above their level in terms of good life....kitu pekee kidogo walichokuzidi labda lugha ya kingereza.

kwa vitu ambavyo umewaonyesha ni dhahiri shahiri kwamba umewazidi kipato mara dufu.

ndio maana wamekasirika na kuanza ku-attack personality yako badala ya hoja iliyopo mezani.

endelea kuwanyorosha comrade,tupo na wewe.
😀😀😀😀😀
 
kolo kaenda kuomba gari ya neighbor ili apigenayo selfie then arudi kutudanganya kuwa ni gari yake.
 
hehe nakwambia Azam tv ikijaribu sana ina wanunuzi hamsini pekee...wakenya huwa wanadharau sana vitu vya tanzania...sijui mbona...ila mimi hapa ningependa kuwa na hio Azam decoder...hizi ma DSTV na Gotv tunatajirisha waafrika kusini tu...itabidi tumewacha kujenga South Africa...tujijenge wenyewe
Dah.....leo hakika umetukuka......umekuwa ghafla mzalendo wa east africa... ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom