Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unatumia oppo unasema ni iphonex
hii ni iphone 7 niliotumia kwanza oppo ndio nini??
shida yako kuiona iphone x😀😀😀😀

iphone 7 nigga
IMG_0023.PNG
 
hehe nakwambia Azam tv ikijaribu sana ina wanunuzi hamsini pekee...wakenya huwa wanadharau sana vitu vya tanzania...sijui mbona...ila mimi hapa ningependa kuwa na hio Azam decoder...hizi ma DSTV na Gotv tunatajirisha waafrika kusini tu...itabidi tumewacha kujenga South Africa...tujijenge wenyewe
Much love.. Stay blessed
 
icho utasababisha kolo akafanye ukora ili apate pesa ya kushindana na wewe.

achunge sana cos "team hessy" haitachelewa kula kichwa yake kwa copper.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
anafkiri watanzania ni watu wa sifa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom