prove with evidence😀😀😀Kenya has more middle class than Tanzania Rwanda and Uganda combined.....
Kenya is not an LDC
Nairobi is the largest and most developed city between Joburg and Cairo......take it or leave it.....just hard facts
Thats cool,but Zanzibar na Pwani ya kenya tofauti ni finyu sana.seronga kajibu vizuri sana...ukweli ni kwamba kila eneo la tz lina lahaja yake ya kiswahili kutokana mchanganyiko wa lugha za kienyeji za eneo husika.
pwani karibia yote ya tz ikiwemo visiwa vya zanzibar ina lahaja yake ya kiswahili.
kwa namna fulani,waswahili wa pwani ya tz wanazungumza kiswahili kinachoshabihiana na kiswahili cha wakenya wa mombasa.
kiswahili cha kinzibar pia kinatofautina.mfano kiswahili anacho zungumza mpemba kinatoutiana kidogo na kiswahili cha waunguja.
Hata enegy drink mlipayuka hivyo hivyo ila kwa sasa mmeikubali hivyo basi hata azam tv itapenya hivyo hivyo kama jinsi kinywaji chake kilivyopenyaWana ji market of course but ni hard sana wapenye...azam energy drink pekee ndio imeweza
Azam TV sio wa kuwabeza Chief,,naamini mpaka wamechukua maamuzi ya kuingia Kenya wanafahamu bayana ushindani uliopo,,hivyo watakuwa wamejiandaa kukabiliana kwa kufanya kazi kwa kuangalia matakwa ya walaji,,muda utaamua,,,tuwape muda.!Wana ji market of course but ni hard sana wapenye...azam energy drink pekee ndio imeweza
kazi usiku na mchana hakuna kulala😀😀
View attachment 652505 View attachment 652506 View attachment 652507 View attachment 652508 View attachment 652509
Unapenda vya bure havipoAzam watuletee free Epl matches.....hapo nita tupa hii gotv decoder yangu through the window bila second thought..
Ukipanga miji ilioendelea zaidi Africa nai ni no ngapi?Kenya has more middle class than Tanzania Rwanda and Uganda combined.....
Kenya is not an LDC
Nairobi is the largest and most developed city between Joburg and Cairo......take it or leave it.....just hard facts
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 mbavu zangu we.

wanazingua sana nai this Nai that wakasumbue Kampala tulishaondoka usingizin no wataisoma tuWeka ya usiku ndugu.kazi usiku na mchana hakuna kulala😀😀
View attachment 652505 View attachment 652506 View attachment 652507 View attachment 652508 View attachment 652509
Another "tuta" renders.View attachment 652497 View attachment 652498 View attachment 652499 mambo ya watumishi housing Dodoma
Even Congolese hudharau bidhaa za kenya ,Tz, but waelewa wanaangalia ubora,dharau ni hulka ya kupuuza jambo tu bila ya kufuatilia kiundani no wonder wapuuzaji wazuri nao hupuuzwa vilevile na wale wanaodhani huwaona wao 2 ni bora...hehe nakwambia Azam tv ikijaribu sana ina wanunuzi hamsini pekee...wakenya huwa wanadharau sana vitu vya tanzania...sijui mbona...ila mimi hapa ningependa kuwa na hio Azam decoder...hizi ma DSTV na Gotv tunatajirisha waafrika kusini tu...itabidi tumewacha kujenga South Africa...tujijenge wenyewe
kwakua nyie mlijenga kwa siku moja😀😀😀
kumbe mnatafta routes bado...nimedhani kazi inafanywa usiku na mchana...kazi ya kuandaa reli...sio kazi ya kupambana na vumbi![]()
![]()
![]()
![]()
Naona unatumia oppo unasema ni iphonex