ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Sasa mzee Tena unachocha Mwarabu...huyo atoshi mseekolo,
vitu anavyomiliki ichoboy wewe huna.
i can guarantee you,hata ufanye ukora nairobi cbd mwaka mzima,huwezi kufikia level ya ichoboy sana sana utaishia kuuliwa kwa risasi na hessy.
povu ruksa...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haha who is proud here???Now U must be very proud arguing with Rich Kid Icho!
We've learned to Humble, binafsi naelewa faida za kunyenyekea, Even Jesus Christ besides his all Authority, he came to us in shame, (this is according to my Holly Bible)
I may have something over the others, but that doesn't make me better over them,
Learn to Humble kijana,
Icho was trying to teach you and your arrogant fellow Kenyans a nice lesson,
Please take it positive.
NomaGood morning from kisumu
![]()
![]()
You!Haha who is proud here???
Shamba hilo lipo county ipi? Je, ni arable? Isije ikawa jangwani.
You!
Sababu wewe ni jobless Mkora,
Icho ni Millionaire, ts not easy for millionaires to calm down themselves to your level!
Jivunie hilo. Jifunze pia kuwa kama icho!
Basi hongera kwa kuwa na acre 2. Lakini kwetu huku acre 2 wanamilki watoto wadogo wanaosoma shule ya msingi. Ila hongera sana kwa kuambulia hizo 2. Najaribu kujiuliza tu. Katikati ya ufisadi mtukufu wa kenya uweze kumilk ardhi. Je, wewe ni kikuyu au la?deep in suba land......next year napangia kupanda French beans
Basi hongera kwa kuwa na acre 2. Lakini kwetu huku acre 2 wanamilki watoto wadogo wanaosoma shule ya msingi. Ila hongera sana kwa kuambulia hizo 2. Najaribu kujiuliza tu. Katikati ya ufisadi mtukufu wa kenya uweze kumilk ardhi. Je, wewe ni kikuyu au la?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unapendaje vya bureeee.......wakati wewe ni people from middle economy nation......na mnamapesa mingi na uchumi mkubwa mnao mpaka dunia inaisoma namba bila kusahau mna mamillionaore kobao 9900 kwenye hiyo idadi nawe ukiwa mmoja wapo
[HASHTAG]#STIPID[/HASHTAG] KENYAN
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona unakwepa maswali yangu!? Alah! Nilikuwa sijui kumbe siku hizi wakenya mpo na mapenzi. Mbona wanawake wa kenya wanawapiga waume zao? Kuna siku waliandamana kuwa hamuwapigi miti vizuri, hivi ni kweli?hahaha......una maswali mengi kwani wewe ni polisi.......ama uko na dada unataka avuke border........aje apate mapenzi ya kikenya....hahaha