SASA kind itwa G20 ndio mafanikio? Kuwa na hakili ndogo ni MZigo.Hayo Matunda mbona hatukuyaona awamu yenu wazalendo fake?
Hizi hapa ni juhudi za Mama ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCVZGTsBLie/?igsh=MW1oaGdnMjA3NDNoZg==
Kuitwa G20 kwako ni mafanikio?SASA kind itwa G20 ndio mafanikio? Kuwa na hakili ndogo ni MZigo.
Ndio ni mafanikio yake binafsi kama Rais na diplomasia ya Tanzania,Kuna Nchi ngapi Afrika?SASA kind itwa G20 ndio mafanikio? Kuwa na hakili ndogo ni MZigo.
Hapana kwani mbona Kuna mazao mengi mpya yanalimwa na watu hawajaacha kulima mahindi?Halafu tuache kulima chakula! Hujifunzi kilimo cha miraa Ukunyani na balaa la njaa?
Weka zako wewe hater?wivu mm wann utanisaidia nn hapa tunaongea facts unafkiri bila kuweka mazingira wezesh kwenye sekta ya afya aliofanya mageuzi makubwa sana magufuli haya unayoyaona leo yangekuwepo, hospital za umma zilikua hazina hata panadol alaf leo tumesahau mageuzi makubwa alioyafanya, hakuna sekta inayofanya vzr nchii ambayo haina athari ya magu hakuna na haitakuwepo
mm mwenyewe nilikua situmii hospital za serekali kwasababu ya urasimu lakini kipindi chake nilijaribu kwenda amana hospital watu walinyooka kama ruler na dawa zote zilikuwepo na huduma zote unapata kwa wakati na nafuu na hakuna x ray mbovu wala MRI πππππ
Watanzania wameamua ππalaf katarama watu wanavunja vioo ππ
yani bus la billion mtu anajiamulia anaenda barabarani anarusha mawe kwenye vioo.... inasikitisha na inafikirisha sana
View: https://x.com/tboundbuses/status/1857011754540163442?s=46
Nyie mnaexport slave kwenda Gulf Kwa waarabu na Rais wenu ndo anaye wachuuzaWatanzania are the second country after Nigeria in exporting most thugs around the world. Hawa vioe wameshikwa hivi watakula maharagwe in prison until they die, we donβt Joke with primitive thugsππππ
View: https://x.com/JamiiForums/status/1856344000522785244
Noma Sasa Kwa sasa tuwatafute South Sudan
Ndio ni mafanikio ya Rais na Nchi ππSASA kind itwa G20 ndio mafanikio? Kuwa na hakili ndogo ni MZigo.
Leta picha za watu wapokoti ndo linganishe na za watu wa hapo harafu tuone nani masikini zaidi?Reasons why Tanzania is still LDC, see their highways ππ
View: https://x.com/tanroas/status/1856618946574635169
Nyie flyover zenu zingi huwa ni kandarasi za wakola kuwapiga pesaMkijenga any flyover, interchange na overpass outside Dar njoo tuongee.
Msigwa wa CHADEMA?Watanzania wameamua ππ
View: https://www.instagram.com/p/DCYKBY_ICLz/?igsh=MWZlZmxkb2V6dG56Mg==
Notisi ya siku 90 ni ya kisheria!Waoishe Kwa Ajili ya uwekezaji wa Afcon,wanabisha si wakajenge za kwao? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DCYUSLHt-VE/?igsh=aHByNGk0NTlndHVn
Hiyo ni kampuni ya Msigwa ipo Mbeya siku nyingi,ni mchimba Madini Yuko Chunya.ππMsigwa wa CHADEMA?
Na hapo ni Nairobi hivi huko waishi watu au ni Masai na ng'ombe zao tu?