Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanza zanzibar jana niliwasikiza wachezaji kadhaa wakizungumza ,kiswahili chao ni kama cha mombasa kabisa,...Kadoda mbona mnazungumza tofauti na waunguja + wapemba

seronga kajibu vizuri sana...ukweli ni kwamba kila eneo la tz lina lahaja yake ya kiswahili kutokana mchanganyiko wa lugha za kienyeji za eneo husika.

pwani karibia yote ya tz ikiwemo visiwa vya zanzibar ina lahaja yake ya kiswahili.

kwa namna fulani,waswahili wa pwani ya tz wanazungumza kiswahili kinachoshabihiana na kiswahili cha wakenya wa mombasa.

kiswahili cha kinzibar pia kinatofautina.mfano kiswahili anacho zungumza mpemba kinatoutiana kidogo na kiswahili cha waunguja.
 
Msee,,Tz kila ukanda una lafudhi yao ya Kiswahili.Lafudhi anayoongea mtu wa Songea inatofautiana na ya mtu wa Mwanza

Kwa hiyo hata lafudhi ya Zenji (Zanzibar) haiwezi fanana na lafudhi ya Mtwara au Arusha,,na huo ndo utamu wenyewe wa Kiswahili,,yaani tunakichezea tunavyotaka lakini bila kupoteza maana ya maneno..!
 
poleni sana wakenya.

2e1cfd358a01bf64263143892e70734d.jpg
 
azam haikwepeki kenya....ni kweli sio wakenya wengi wanamiliki decoder ya azamtv but feed ya cecafa cup kwa KBC ni ya azam tv...you see,you can't escape from "AZAM".
Wana ji market of course but ni hard sana wapenye...azam energy drink pekee ndio imeweza
 
sijawahi kishuhudia mwaka wakenya wakitoa povu kama mwaka huu yani kila kona wamebanwa ipasavyo😀😀
 
Kenya has more middle class than Tanzania Rwanda and Uganda combined.....
Kenya is not an LDC
Nairobi is the largest and most developed city between Joburg and Cairo......take it or leave it.....just hard facts
 
Back
Top Bottom