Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
The fact that we don’t post them haimanishi haziko
View: https://x.com/KURAroads/status/1839672492585017498
7.5 km seriously?
The fact that we don’t post them haimanishi haziko
View: https://x.com/KURAroads/status/1839672492585017498
Ulitaka urban Roads ziwe how many kilometers?Another 7km road ndio mradi? 😂😂😂
The fact that we don’t post them haimanishi haziko.
View: https://x.com/KURAroads/status/1847938278932066363
Yes, Urban roads are usually shorter, ama nyinyi hamna body that oversees all the roads constructions in your urban?7.5 km seriously?
Kwa hiyo hamna mradi wowote mkubwa kama huu? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCFBF0qtJHT/?igsh=MXMzamRoaXoyOWE3Zg==
Nairobi inazidiwa Hadi na Sumbawanga Kwa Barabara za mjini wanajenga zaidi ya hizo 7km unazolingia. 😂😂😂👇👇Ulitaka urban Roads ziwe how many kilometers?
Hao mbwa waharibu thread a.k.a wazee wa kupiga wasikutoe kwenye reli, hiyo picha ya interchange ni render ya Ethiopia na imetoka juzi tu hapa wakati interchange ya ubungo ishakamilika, tatizo hii thread imevamiwa na machawa wa kutoka jukwaa la siasa ndiyo maana kwa sasa tunaipotezea, imekuwa ya kisenge sana na kupoteza mvuto.Kimsingi interchange iliyotengenezwa ni bora kuliko hiyo design ya mwanzo. 👇🏾View attachment 3146921View attachment 3146923six lanes hizi.. ile design ya mwanzo haukua na BRT lanes.
Daraja la Simiyu 150m span plus approach roads Wacha kujifariji na ujinga 😂😂2km ndio project kubwa?
Sawa.Nairobi inazidiwa Hadi na Sumbawanga Kwa Barabara za mjini
Ulisema hakuna projects zinaendelea Kenya, tena umechange gear? Pole kwako.
View: https://x.com/KURAroads/status/1836356661784498475
So 150 meters ni project kubwa kuliko 7.5KM?Daraja la Simiyu 150m span plus approach roads Wacha kujifariji na ujinga 😂😂
Are they projects ama sio projects? Babarabara zetu zote arw tarmacked, mbona unataka tuzipige lami tena?Weka projects za maana sio street roads .
Upo sawa sawa kichwani? Leta gharama za hiyo 7km road Yako na Mimi niweke hapa ya darajaSo 150 meters ni project kubwa kuliko 7.5KM?
Sio projects za kujivunia Kwa Nvhi.Are they projects ama sio projects? Babarabara zetu zote arw tarmacked, mbona unataka tuzipige lami tena?
Bro ushasema project ya barabara ya 150 meters ni kubwa kuliko barabara ya 7.5KM, i don’t have anything else to say to you.Upo sawa sawa kichwani? Leta gharama za hiyo 7km road Yako na Mimi niweke hapa ya daraja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣The best 007 hutamuona humu leo 🤣🤣🤣
So 9KM ni project ya maana lakini 7.5kKM sio project ya maana?Sio projects za kujivunia Kwa Nvhi.
Wapi nimesema project ya Barabara? Heading imeandikwa Barabara? 👇👇Bro ushasema project ya barabara ya 150 meters ni kubwa kuliko barabara ya 7.5KM, i don’t have anything else to say to you.
Wapi nimeweka project ya 9km? Weka projects za maana kama hizi 👇👇So 9KM ni project ya maana lakini 7.5kKM sio project ya maana?
We are already ahead of Tanzania in Development. What other project do you want us to do on the roads.Remember Kenyan road paved networt is over 20,000KM while ya Tz hata 14k hamjafika.Sio projects za kujivunia Kwa Nvhi.