Nimeingilia njiani wapi nipo humu toka 2017 uzi unaanza na Annael.Peleka mjadala wa internal affairs kwenye majukwaa husika. Msituharibie uzi. Stupid
Battle hii ninyi mumeiingilia njiani.
Acheni utoto
Kikwete amekiri hili baada ya kumtwanga spana huko twitter. Amekiri kwenye intavyuu na Idrisa kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kuanzisha ya umeme. Kwa umeme upi kwanza, na akili zipi?Kama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
Maana mpango wa SGR ulikua wa East Africa na ilikua ijengwe kote kama iliyojengwa Kenya.
Ila Magufuli ameleta utofauti anafaa apongezwe.
Samia ni kama Kikwete huwa hawajui kitu kinaitwa ufanisi.
Ona hata viti vya EMU vilivyowekwa ushuzi mtupu.
MkuuKama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
Maana mpango wa SGR ulikua wa East Africa na ilikua ijengwe kote kama iliyojengwa Kenya.
Ila Magufuli ameleta utofauti anafaa apongezwe.
Samia ni kama Kikwete huwa hawajui kitu kinaitwa ufanisi.
Ona hata viti vya EMU vilivyowekwa ushuzi mtupu.
Malipo ya serikali yanafanyika kivipi Sasa hivi ,soma ripoti ya ukaguzi 2021/2022 uone mabehewa yalivyopigwa kipindi Cha jamaa yakoLete ushahidi wa hizi tuhuma.
Waziri msimamizi wa hizo barabara alikuwa nani?Kwenye ufanisi tueleze barabara unayoijua weye aliyojenga magu akiwa raisi ambayo Iko katika standard za kimataifa Mimi nakupa ya kikwete iyovi- mafinga miaka zaid ya 10 Bado Haina mashimo
Duh! Haujaona mradi wowote aliomaliza sio?Mkuu ndani ya miaka 6 magu alikopa USD 11 lakini hatujaona mradi wowote aliomaliza ?
Hivi unawezaje kuanza ujenzi wa sgr isaka- mwanza kabla ya makutupora -isaka
Report ya CAG baada ya kufa Magu ilichezewa makusudi. Report.ya CAG baada ya kufa Magu kuna upigani mkubwa, nini kimefanyika so.far dhidi ya huo upigaji?Mkuu
Malipo ya serikali yanafanyika kivipi Sasa hivi ,soma ripoti ya ukaguzi 2021/2022 uone mabehewa yalivyopigwa kipindi Cha jamaa yako
Na Bado yupo Mjinga Ka Like hii🤔Kwani kuna kiongozi aliyeharibu jina la Nchi hii kimataifa zaidi ya Magufuli!? Yani huyo jamaa ametufanya Leo ukienda Nchi jirani wanakuona Kama Mrundi,Mnyarwanda au Mcongo tu
JIWE anapaswa kusomewa makosa yake ata akiwa wapi
KAMA HUWEZI KUSAMEHE BASI LIPA KISASI
Miradi ilikua na muda wa ujenzi mpaka kukamilika kwake, kwa hiyo kipindi akiwa hai haikuwa inajengwa?Mkuu ndani ya miaka 6 magu alikopa USD 11 lakini hatujaona mradi wowote aliomaliza ?
Hivi unawezaje kuanza ujenzi wa sgr isaka- mwanza kabla ya makutupora -isaka
Waziri ni kama mkuu wa kitengo tu Hana influence yoyote kwenye kuelekeza maendeleo ya zaid ya raisi Sasa ikawaje barabara alizojenga magu akiwa raisi ziwe mbovu wakati alikuwa mfuatiliaji?Waziri msimamizi wa hizo barabara alikuwa nani?
Bro embu ongea kwa utimamu bana.Waziri ni kama mkuu wa kitengo tu Hana influence yoyote kwenye kuelekeza maendeleo ya zaid ya raisi Sasa ikawaje barabara alizojenga magu akiwa raisi ziwe mbovu wakati alikuwa mfuatiliaji?
WWaziri msimamizi wa hizo barabara alikuwa nani?
Report ya CAG baada ya kufa Magu ilichezewa makusudi. Report.ya CAG baada ya kufa Magu kuna upigani mkubwa, nini kimefanyika so.far dhidi ya huo upigaji?
Aisee watu sijui marehemu aliwafanya nini!??Kikwete amekiri hili baada ya kumtwanga spana huko twitter. Amakiri kwenye intavyuu na Idrisa kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kuanzisha ya umeme. Kwa umeme upi kwanza, na akili zipi?
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1841633931545690420
1)Kwani Kibaha highway nani kajenga!?Kwenye ufanisi tueleze barabara unayoijua weye aliyojenga magu akiwa raisi ambayo Iko katika standard za kimataifa Mimi nakupa ya kikwete iyovi- mafinga miaka zaid ya 10 Bado Haina mashimo
Wacha upumbavu Mhutu Yule alikuwa haruhusu u-expose madudu ya serikali yake!Report ya CAG baada ya kufa Magu ilichezewa makusudi. Report.ya CAG baada ya kufa Magu kuna upigani mkubwa, nini kimefanyika so.far dhidi ya huo upigaji?
Bro achana na uyo jamaa anaongea Kwa mihemko nadhani Kuna tatizo lilimpata na ao wanaoponda ndio tulikuwa tunawashuhudia wanatuwekea Hadi link za live hapa uzinduzi na baadhi ya miradi iliyokamilika1)Kwani Kibaha highway nani kajenga!?
Barabara za Dar nani kaziboresha!??
Tizama barabara ya Ubungo kuanzia ubungo interchange hadi kuungana na kimara-kibaha highway nani kajenga zile kama sio Magufuli!??
Unaleta suala la ufanisi wa barabara ushindanishe na Magufuli!?
Utafeli bro.
Nyingi ndio wapumbavu ela hizi mnazogawa zinatoka wapi Aya sio madudu au ?Wacha upumbavu Mhutu Yule alikuwa haruhusu u-expose madudu ya serikali yake!
Usijisahaulishe muweka link za videoWacha upumbavu Mhutu Yule alikuwa haruhusu u-expose madudu ya serikali yake!
Watu wakubali wakatae marehemu alikua ana maono ya kutufikisha mbali.Nyingi ndio wapumbavu ela hizi mnazogawa zinatoka wapi Aya sio madudu au ?
Kipindi brt inatengenezwa kivukoni ziliruhusiwa bus za uda tu na route ilikua kivukoni mnazi mmoja,chini ya kisena na inavyodaiwa na mtoto wa kigogo mmoja,aisee kinamama wauza samaki na wakazi wa kigamboni kipindi kile waliteseka sana,jamaa walipiga hela ile route balaaLeo tuna mpaka umeme wa ziada, ukiachilia mbali kujitoa kwenye makali ya mgao. Leo tuna high speed trains, Kikwete na genge lake, kwa sababu ya low IQ, walitaka kujenga ya diesel.
Umesahau familia yao walijimilikisha stendi ya Ubungo, na hata choo hawakujenga?
Bro humu watu walikuwa Awana Cha kupost dhini ya wakenye humu ila jamaa kawapa power iyo ila wanasahau je mlikuwa mnapost vitu vinatoka wapiWatu wakubali wakatae marehemu alikua ana maono ya kutufikisha mbali.
Sawa hatukatai alikua na madhaifu yake ila alikua anatupeleka nchi ya ahadi.
Hakuna mtu aliyekua na uthubutu kama yeye katika viongozi.