REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,683
- 11,711
South.wanatumia neno "Skoteni" kama mnavyotumia chokoraa. Hivyo huyo.dada sio Msouth.Nimekuuliza Kenya tunatumia hobos? π π
Kenya tunaita Chokoraa.
Yani mnalazimisha huyu dada awe Mkenya kisa amewaambia ukweli. Enyewe Vumbistanis hampendi ukweli. ππ
Trafficking ni illegal business kwahiyo ulicholeta ni human trafficking ambako duniani kote hutendeka na Kila serikali inapambana kumaliza. Sasa nyinyi mna illegal undocumented people wako barabarani mmeshindwa kuwatoa wakati mnajua ni illegal.Mbona serikali yenu inakubali watu wenu wawe trafficked? Halafu huwezi pata mtu aliye na maisha mazuri akiwa trafficked. Itakuwaje ni Watanzania pekee wanaokuwa trafficked? Mbona hakuna Wakenya ombaomba Bongolala au Afrika Kusini? π π
Anajiita mkongo ila hawez andika kifaransa Wala kilingalaSouth.wanatumia neno "Skoteni" kama mnavyotumia chokoraa. Hivyo huyo.dada sio Msouth.
Nilimuona huyo NairobiWalker kwenye channel yake YouTube. dakika kumi zote anamuuliza kijana wa kichagga about tribes, sjui which tribe is rich etc. Sijui Arusha kabila gani, yaan he was too much focused on tribes.Kwa Sabab mmezoea hatred ndo maana kwako ni kawaida anyway Tanzania hatuna tribal issues kwahiyo huo ni uchonganishi.
Anyway kama nyinyi wenyewe mnashindwa kaaa kwa makabila yaan mkikuyu hawez iva na mkalenjin ,mkamba, mkisiii ndo mtaweza kuacha rivalries na Tanzanian ambao hawana tribal issues
Nani kasema ni Msouth? Dada ni half Congolese half Rwandese. Alafu hakuna nchi Africa inayotumia neno hobo. Hiyo ni American slang na nchi za Africa including yourself saa zingine hutumia American slang kwa hivo argument yako haimake sense. Kubali nyinyi bongolala huwa na ugumu wa kukubali ukweli na chuki zenu. Kama huyu dada hangekuwa amemention uraia wake kwa profile yake mngekwamilia kabisa eti ni Mkenya lakini leo hamna pa kutokea. Muache kuwa ombaomba.South.wanatumia neno "Skoteni" kama mnavyotumia chokoraa. Hivyo huyo.dada sio Msouth.
Ni mkenya huyo.Halafu Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.
Durban huita homeless Singular: "Skoteni", plural: "AmaSkoteni".
Mna shida sana Wakenya.
Bongo Sasa hivi hata lugha za makabila hatuzijui.Nilimuona huyo NairobiWalker kwenye channel yake YouTube. dakika kumi zote anamuuliza kijana wa kichagga about tribes, sjui which tribe is rich etc. Sijui Arusha kabila gani, yaan he was too much focused on tribes.
Nikajua huyu atakuwa mlugaluga tu na mshamba. Ndo wakenya wengi walivyo
Tribes, tribes...kwan zinawasaidia nini
Leta link tuwaumbueNilimuona huyo NairobiWalker kwenye channel yake YouTube. dakika kumi zote anamuuliza kijana wa kichagga about tribes, sjui which tribe is rich etc. Sijui Arusha kabila gani, yaan he was too much focused on tribes.
Nikajua huyu atakuwa mlugaluga tu na mshamba. Ndo wakenya wengi walivyo
Tribes, tribes...kwan zinawasaidia nini
Nyinyi kutoka kusuport apartheid government hadi kuwa marafiki wa victims wa hio Government?Shida yenu mnakuwanga watu emotional sana. Kitu kidogo tu mtatoa uchungu wote mliojaza nyoyoni mwenu. π π
Mkongo na mnyarwanda asiyejua kuandika kifaransa au kilingala ila anajua kiswahili,π€£π€£π€£π€£π€£π€£.Nani kasema ni Msouth? Dada ni half Congolese half Rwandese. Alafu hakuna nchi Africa inayotumia neno hobo. Hiyo ni American slang na nchi za Africa including yourself saa zingine hutumia American slang kwa hivo argument yako haimake sense. Kubali nyinyi bongolala huwa na ugumu wa kukubali ukweli na chuki zenu. Kama huyu dada hangekuwa amemention uraia wake kwa profile yake mngekwamilia kabisa eti ni Mkenya lakini leo hamna pa kutokea. Muache kuwa ombaomba.
Mimi namlaumu kwanza waziri kipindi kile ingebidi tusimamie shoo kama mwez tuoneNyinyi kutoka kusuport apartheid government hadi kuwa marafiki wa victims wa hio Government?
Hakuna mtu ataweza kuvumilia arrogance ya mkenya hata siku moja. Africa nzima inawajua.
Juzi hapa mlifanya the same thing kwa Zambian Airline kuzuia/kutokutoa permits isitue Nairobi. Mpaka wakawapiga ban. Wew unadhan sasa wazambia wanawaonaje kama sio watu wa hovyo na wapumbavu tu hata kama mnaomba msamaha sasa kwa kuwelcome zambian Airline kwa kumwagia maji...
Nakumbuka matusi tuliyopewa na Wakenya tulipopiga marufuku Kenya Airways kisa hamkutaka Air Tanzania cargo itue pale
Always playing victims wakati mna matatizo
Yaan nyinyi mnagombana na kila mtu hapa Africa. Viburi, Ego, roho mbaya, kujiona special vitawamaliza wenyew. Yetu Macho
Anajua mwenyew. Ngoja nimtunzie sirΓ. Maana anajionyesha sura yeye na sijui mdogo wake yule.Leta link tuwaumbue
Usikuwe emotional bro. Sio Mimi nimesema Kuna ombaomba wabongo SA.ππNyinyi kutoka kusuport apartheid government hadi kuwa marafiki wa victims wa hio Government?
Hakuna mtu ataweza kuvumilia arrogance ya mkenya hata siku moja. Africa nzima inawajua.
Juzi hapa mlifanya the same thing kwa Zambian Airline kuzuia/kutokutoa permits isitue Nairobi. Mpaka wakawapiga ban. Wew unadhan sasa wazambia wanawaonaje kama sio watu wa hovyo na wapumbavu tu hata kama mnaomba msamaha sasa kwa kuwelcome zambian Airline kwa kumwagia maji...
Nakumbuka matusi tuliyopewa na Wakenya tulipopiga marufuku Kenya Airways kisa hamkutaka Air Tanzania cargo itue pale
Always playing victims wakati mna matatizo
Yaan nyinyi mnagombana na kila mtu hapa Africa. Viburi, Ego, roho mbaya, kujiona special vitawamaliza wenyew. Yetu Macho
Ila hii story imewauma bradhee. Ngoja Teargas aje. Yeye ndio atawatia chumvi kwa kidonda vizuri.πππMkongo na mnyarwanda asiyejua kuandika kifaransa au kilingala ila anajua kiswahili,π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Waambien dada zenu waache kuja kuuza nyapu makole dodoma
Kumbe ndo role model wako kwikwi.Ila hii story imewauma bradhee. Ngoja Teargas aje. Yeye ndio atawatia chumvi kwa kidonda vizuri.πππ
Mamaye, wakenya mtapata shida mwaka huu