Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabla ya hiyo routes Watalii walikuwa wanakuja na ungo wa Sumbawanga? Yaani wewe akili Yako inaishiaga mwisho wa macho Yako kuona 😂😂
unajisifu kila siku hapa tanzania inapokea watalii wengi sasa ww unafkiri wingi wa hao watalii wanakuja na nn kama huna airline ambayo inakwenda direct flight

2030 unataka watalii 5m utawapataje huna ndege amabzo ni direct flight to world tourism source kama dubai, south africa, china, etc
 
Wewe uelewa wako ni Mdogo sana nina uhakika hata diploma huna! Na kama ulifika form six basi kwa kudra za mwenyezi Mungu! Hiyo My Take Achia wanaojielewa sio kuigaiga!
😂😂😂😂😂😂😂 na kanitukana bure tu
Kabla ya hiyo routes Watalii walikuwa wanakuja na ungo wa Sumbawanga? Yaani wewe akili Yako inaishiaga mwisho wa macho Yako kuona 😂😂
 
unajisifu kila siku hapa tanzania inapokea watalii wengi sasa ww unafkiri wingi wa hao watalii wanakuja na nn kama huna airline ambayo inakwenda direct flight

2030 unataka watalii 5m utawapataje huna ndege amabzo ni direct flight to world tourism source kama dubai, south africa, china, etc
Aliyekudanganya kwamba wanakuja na ATCL ni nani? Acha uboya basi.

Hiyo strategy Yao ni ngumu na Ina ushindani sana tofauti na ndani ambako demand ni kubwa ila ndege na route ni chache Abiria wanalia Kila siku
 
so ATCL haina mchango wowote kwenye kuleta watalii au???? 😂😂😂😂😂😂
Ni sawa tuu na kusema Haina maana hata isipokuwepo na hata wakati haipo walikuwa wanakuja.

Hatujawahi kuwa na upungufu wa mashirika ya ndege ya Kimataifa,ndio maana hiyo ATCL yenu inategemea ruzuku ,hata ikifutwa Leo Utalii hautashuka utapanda kama kawaida.

My Take: Badala ya kuhangaika na routes za Nje Zenye ushindani wajikite ruti za ndani ambazo Wana comparative advantage
 
Huyo ni mkenya. Angalia hata comments ana reply kiswahili kabisa.

Nadhani naprove ile statement yangu kuwa anything bad about Tanzania on internet there must be Kenyan related.

Yaan nyinyi hiz chuki za kuharibu image ya Tanzania mtaacha lini? But God of Tanzania always punishes you. Sio YouTube mara Tanzania are tired of Americans, Mara Tanzania their electric trains zinakwama misituni.
We have a snake Neighbour and we know that.
And no one cares. Mtahangaika wee mwishowe mtaacha

And actually...and there is no point of Mentioning your fellow Africans and saying they are hobos etc. You don't know what they are passing through to be that way. Huo ni ujinga na upumbavu. And bad enough is mentioning other nationalities...hiyo ni spreading hate na xenophobic. Angalia hata comments wamemsema kweli nadhani hatarudia
 
Back
Top Bottom