Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

VIP si mlikuwa mnataka muinguanishe na EPC plus F sijui waziri wako wa fedha wa awamu hii na waziri wa uchukuzi si walidai itaanza ?
 
Hili dude lina taa kweli hapo mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 3131169
Oyaaa mwanangu una macho kuliko macho yenyewe, ebhn ndio naangalia hapa hili dude halina taa na linakatiza CBD bila tabu yoyote aisee, Tanzania hata nje kwako hupaswi kuliweka unakamatwa, lkn Kenya ndiyo their best public transport 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Customs Wao hawachukui rushwa!
 
Embu watuambie hili kopo ni brand gani? Maana za wenzetu kuna brand kama Scania Marcopolo, Irizar etc hii body inaitwaje? 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…