Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maximum speed of your trains are below 200km/h. Kenyan trains have a maximum speed of 200km/h

Ajuza,

Tofautisha speed inayowekwa kwenye loco cabs pale na speed ambayo loco inatemebea kwenye njia yake.

In cabs unaweza kuweka speed hata 650km/hr kama za maglev, lakini ishu inakuja loco ikiwa on operations inatembea kwa speed ngapi!?
 
Maximum speed of Tanzanian trains is 180km/h
Maximum speed of Kenyan trains is 200km/h
 
Hehehe, ze topu ranked democratiki Kanturi in Isti Afirika.🤣🤣

1000374118.png
 
alaf mwisho wa siku zanzibar inapokea watalii wengi kuliko diani na mombasa kwa ujumla 😂😂😂😂

na hili alithibitisha waziri wenu wa utalii wa zamani CS balala 😂😂😂😂
Ebu Leta evidence ya Zanzibar kupokea watalia wengi kuliko Mombasa na Diani combined. Ama unasahau Kenya inapokea watalii wengi kuliko Tanzania?
 
Yet it takes 7 hours to Mombasa 🤣🤣🤣🤣
Differentiate between maximum speed and operational speed you idiot. Ebu nikumbushe your level of education again, causes daily unatukumbusha how illiterate you are😂
 
Back
Top Bottom