ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
How is your take going Mr. Geuza Ulambwe?
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1845749512117088315
Kutoka hapo Thika Road umbali mrefu zaidi ni kwenda Mayole km 780, sasa nisaidie tunapoambiwa eti 🇰🇪 ina barabara za rami km 17000 ni kutoka wapi kwenda wapi!Thika Road
Best 👌🏻 road in East & Central Africa
View attachment 3123713View attachment 3123714View attachment 3123715
View attachment 3123717View attachment 3123718
Haswa pale wakameruni wakikunyuka mpaka aibu inakufika😎😎Kumbe mimi ndio huwa nachangamsha hii thread? Nikinyamaza thread thread inakuwa dormant 😂😂.
Kumbe Amsons sio tuu watajenga kiwanda Cha saruji Tanga Bali watakuwa wanazalisha na clinker kabisa.Tanga kuna clinker
How is your take going Mr. Geuza Ulambwe?
View: https://x.com/RailwaysUganda/status/1845749512117088315
Inakuja Victoria, mganda hana pesa ya kupeleka railway malaba na hawezi kopesheka sababu hawezi lipa, mganda hana bandari wala mzigo wowote wa maana wa kuwa na sgr, anategemea mzigo wa transit to DRC na Sudan ambao bado economic benefits zake kwa Uganda ni ndogo sana, mchina pia hawezi kuwapa ninyi pesa kwenda malaba sababu tayari anatoa pesa kwa Tanzania
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1846130394766496102?t=-fX2e0fsWeUbzTPC5J_rCQ&s=19
Dunia ni 24000km diameter itakuaje Kenya kuna barabara ya 17,000km?Kutoka hapo Thika Road umbali mrefu zaidi ni kwenda Mayole km 780, sasa nisaidie tunapoambiwa eti 🇰🇪 ina barabara za rami km 17000 ni kutoka wapi kwenda wapi!
Prove. Tueleze hizo barabara ni za kutoka wapi kwenda wapi. Acha mbwembwe za mitandaoniDunia ni 24000km diameter itakuaje Kenya kuna barabara ya 17,000km?
Mbona watanzania nyinyi ni wajinga na kutoelewa kinachoendelea duniani?