Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,789
Inakuja Victoria, mganda hana pesa ya kupeleka railway malaba na hawezi kopesheka sababu hawezi lipa, mganda hana bandari wala mzigo wowote wa maana wa kuwa na sgr, anategemea mzigo wa transit to DRC na Sudan ambao bado economic benefits zake kwa Uganda ni ndogo sana, mchina pia hawezi kuwapa ninyi pesa kwenda malaba sababu tayari anatoa pesa kwa Tanzania
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1846130394766496102?t=-fX2e0fsWeUbzTPC5J_rCQ&s=19
Dar is larger than New YorkKigali is larger than Nairobi.
Kigali: 730 sqr km
Nairobi: 696 sqr km
Remember Kenya haijawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. When talking about debts remember it's only Tanzania and Somalia ndio washaisamehewa deni hapa East Africa cause they couldn't pay.Hicho kipande chenu mpaka malaba ni very expensive at USD 5.2bn inatia shaka kwa mtoa fedha kama hela,yake inaweza kurudi taking into account Kevya has recently been relegated into the junk status by the credit rating agencies.
Hivi Kenya ule msaada wa ngano kutoka Ukraine uliwafikia?Huyu mama mimi nampenda sana ni mchapa kazi sana one of the best ambassadors in Tz.
Jengeni basi mwaka wa 10 huu mnazunguka na bakuli kila pande ya dunia 🤣🤣🤣Remember Kenya haijawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. When talking about debts remember it's only Tanzania and Somalia ndio washaisamehewa deni hapa East Africa cause they couldn't pay.
Washakula na kuacha chooni mda lakini bado haikutosha njaa iko palepale. Africa kuna vituko sana jamani eti supa pawa ana njaa cant afford to mitigate food insecurity 🤣🤣🤣Hivi Kenya ule msaada wa ngano kutoka Ukraine uliwafikia?
Mbona kelele nyingi sasa mnataka debt restructuring? Ukweli ni kuwa mlifikiri Mchina atalegeza na kuwafutia deni Kama alivyofanya kwa Tanzania na Zambia! Pumbavu sana nyie Hamna historia na Uchina ila ukimbelembele wa kuomba benefits zao!Remember Kenya haijawaishindwa kulipa deni kama Tanzania. When talking about debts remember it's only Tanzania and Somalia ndio washaisamehewa deni hapa East Africa cause they couldn't pay.
Thank you for admitting that Kigali is larger than NairobiDar is larger than New York