Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uganda has already signed the deal with the constructor of Malabar to Kampala. Hiyo $600M unaongelea that will go to lake Victoria ni MGR.

SGR imewaacha tu hivo😂. Alafu kwa mzigo just know that Uganda imports around 7.1M tonnes through Mombasa, that's bigger than all transit goods that pass through Dar Port.
Uganda is not a perioty for Tanzania. Mnataka tuwachukulie kila kitu?
 
Dar is larger than New York
Ila Nairobi inatia aibu. Hapa ni Nairobi City Center. Kutoka kwenye video ya Bertin ya SGR
IMG-20241015-WA0261.jpg

IMG-20241015-WA0259.jpg
IMG-20241015-WA0260.jpg
IMG-20241015-WA0257.jpg
 
Uganda has already signed the deal with the constructor of Malabar to Kampala. Hiyo $600M unaongelea that will go to lake Victoria ni MGR.

SGR imewaacha tu hivo😂. Alafu kwa mzigo just know that Uganda imports around 7.1M tonnes through Mombasa, that's bigger than all transit goods that pass through Dar Port.
Katika watu ambao hawatumii hakili kabisa ni wakenya. Sababu ya kujenga SGR kutoka isaka Mwanza through like victoria ni kukamata soko la Uganda. Pale Mwanza bandari zote mbili zinapanuliwa, ,Mwanza North na Mwanza south, Tunajenga meli ya Mizigo kubwa mbili. Kuna Mv Mwanza ambayo inakamilika mwaka huu. Uganda wanaboresha bandari Yao through port bell sgr ya Uganda itaconect bandari ya port bell. Tukimaliza tunapunguza transportation cost almost alf
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

View: https://www.facebook.com/reel/1076124147851154
 
Katika watu ambao hawatumii hakili kabisa ni wakenya. Sababu ya kujenga SGR kutoka isaka Mwanza through like victoria ni kukamata soko la Uganda. Pale Mwanza bandari zote mbili zinapanuliwa, ,Mwanza North na Mwanza south, Tunajenga meli ya Mizigo kubwa mbili. Kuna Mv Mwanza ambayo inakamilika mwaka huu. Uganda wanaboresha bandari Yao through port bell sgr ya Uganda itaconect bandari ya port bell. Tukimaliza tunapunguza transportation cost almost alf
Yaan tunaweka tu dar-mwanza 40ft inakuwa USD 500, kwisha habar
 
Back
Top Bottom