Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania iko nyuma sana. Yani in this year and century Tanzania still have several highways with no tarmac๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

1728839837761.jpeg
 
Hapa naona magari year of manufacture is 1996, unataka kujilinganisha na hiyo ya Mazda yenye magari ya 2014-2023?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
kwamba hzo hari 26 sijui mazda unataka kufananisha na world record ya landrover festivals ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

we kondoo aliepewa kapewa yani huwez vunja hio record ndio maana imewauma sana
 
kumbe landrover featival imewauma sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

wakenya ni wajinga sana
Hakuna kitu iliniuma hapo hata moja. I just wanted to inform you that mnashingilia vitu vinaandaliwa na wamama na vijana huku Kenya. The day Tanzania will host a world or continental event njoo tuongee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
kwamba hzo hari 26 sijui mazda unataka kufananisha na world record ya landrover festivals ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

we kondoo aliepewa kapewa yani huwez vunja hio record ndio maana imewauma sana
Land Rover zenye zimetolewa Junk Yard?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

99.99% of those Land Rovers were manufactured ib 1951๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hakuna kitu iliniuma hapo hata moja. I just wanted to inform you that mnashingilia vitu vinaandaliwa na wamama na vijana huku Kenya. The day Tanzania will host a world or continental event njoo tuongee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
ww ni mmoja wapo ulieumia nimeona comment za wakenya wengi sana wajinga kama ww wenye wivu na roho mbaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kila kizuri cha tanzania munataman kiwe chenu mbuzi nyinyi mutamani na konga sasa tuwape
 
Kweli wanakudinya wewe, Yani unataja Mazda mbele ya Land Rover.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ record breaking world event yenye ili husisha 1000+ cars, unalinganisha na msururu wa gari cheap zenye they are less than 30 .?
Yes, Nataja Mazda CX-5 make ya 2020-2023 mbele ya Land Rover make ya 1951๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
ww ni mmoja wapo ulieumia nimeona comment za wakenya wengi sana wajinga kama ww wenye wivu na roho mbaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kila kizuri cha tanzania munataman kiwe chenu mbuzi nyinyi mutanani na konga sasa tuwape
Wapi penye tumetamani the old road trip ya old cars iwe ya Kenya? Yani Tuwache safari rally tutamani magari nzee with no effect to Tanzania?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Yani a sane Kenyan awache kutamani Safari Rally ati atamani Road show ya junky cars? Maybe not in this generation๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Yani a sane Kenyan awache kutamani Safari Rally ati atamani Road show ya junky cars? Maybe not in this generation๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Usiwasemee wakenya wenye pesa na akili timamu, poor boy ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Can you afford staying in Arusha for at least 1 day..? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukiamka utakua broke same day. Kwahyo kwa kimya.
 
Back
Top Bottom