Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

repost:
this post is for kenyans only:

while you are bragging about your universities over petty issues of beautiful buildings and blablabla,here is a short list of international (non tanzanians) famous alumni of university of dar es salaam who thereafter held/hold powerful positions in their countries including head of state.

23d309517f25789a4b199faec472720c.jpg
2edf8a82fe30342b3961a07b63b3ab49.jpg
3d1225d196250e2888edebde91036f2c.jpg
4bc0b0d954091efecd7ec052f8f1aa51.jpg
a7c351f0f25cdde05a2e87b5da712b0e.jpg
56d5650f3683493d8f34a353d75a6346.jpg
b486bd0f9b3eff3374f5dcf8d4a7b9ee.jpg
31fef15ecca9cfb34731cede866292fa.jpg

so i challenge all kenyans to show us any international (non kenyan) alumni from universities of kenya,who became the head of state or a CEO in his/her country.

update:
7495277e78e482b0086fd3e43158ae46.jpg
7770be22e8d736da9328c354b9427373.jpg
24c74ce23febd40222a12bb53d037bf9.jpg

nasubiri majibu sihitaji povu...ila kama huna majibu,basi ruksa kutoa povu.
Hapo usitegemee majibu jiandae kuona kilio kisichokua na matanga😀😀😀
 
you know most kenyans whom i have been engaging with are very foolish...so sometimes i put my higher abilities into the same lower position with you in order to tease your ignorance.
You sound awkwardly foolish.
 
Hapo usitegemee majibu jiandae kuona kilio kisichokua na matanga😀😀😀
Kama nawaona vile jinsi wanavyoangaika google kutafuta raia wao wakikenya wenye nyazifa....ila ngoma hawaonekani google nzima
 
ati mtu anapost tyrants and despots who have made their countries failed states in LDC category as alumni......oh Lord..!

Why can't researchers, notable academia..community champions or notable sports men be celebrated..?what kind of lazy outdated mentality is this ...smh
 
My anko...huyu every likizo wanappfunga skul huwa anakuja nairobi kumpa halla maza wake cha ajabu hapapendi nairobi hata kidogo huwa nachekaga sana sababu anazonipa...kuhusu nairobi
164abdd8eedfe24e3f116c27088af3e0.jpg
 
Kuna mtu nliona anasema Kenya ina life expectancy kubwa kuliko Tz @ collomhzi
7eb2d1b879a441691ca669a81af11741.jpg
sasa life expectancy pia ni jambo la kujivunia?? enyewe watz bana aibu kubwa hii...mmeanza sasa kujivunia vitu vya kipumbavu
emoji23.png
emoji23.png
 
hebu tuwagawie hawa LDC 10 Billion USD kwa GDP yao ili tuwanasue toka kwa shimo la uLDC...I have a feeling we will still have a bigger economy
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
My anko...huyu every likizo wanappfunga skul huwa anakuja nairobi kumpa halla maza wake cha ajabu hapapendi nairobi hata kidogo huwa nachekaga sana sababu anazonipa...kuhusu nairobi
164abdd8eedfe24e3f116c27088af3e0.jpg
jogoo la mashambani haliwiki mjini braza
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Nairobi is the only city in East Africa...zingine mashambani tu ama big towns
 
sasa life expectancy pia ni jambo la kujivunia?? enyewe watz bana aibu kubwa hii...mmeanza sasa kujivunia ujinga
Kuwa muelewa wewe mjanja alijipa jina jay z kwa jinsi ulivyo mshamba eti ukaona bora ujiite jay456watt hiyo yote inaonyesha ni jinsi gani ulivyo maandazi...

Ni hivi hiyo hoja Mzee wa iphone7 a.k.a Collo aliiropoka tu bila uthibitisho kilichofanyika hapo ni uthibitisho wa kuonyesha kama alichokuwa anaongea Mzee wa iphone7 ni uwongo

Acha umburura
 
jogoo la mashambani haliwiki mjini braza
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Ha haa mnyamwezi huyo ....kawaharibu sana wadogo zenu na anko zenu wakike wakinairobi yaani kawachafulieni hadi wake zenu......hapo nairobi....yaani akifika tu shobo kibao wanamdandia.......

Balaa sana muone hivyo hivyo hafu uzuri wake ni kichwa balaa darasani huwa akijaga lazima ajipime mitihani uko na anawalaza wakina juakali wa huko
 
Back
Top Bottom