Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa muelewa wewe mjanja alijipa jina jay z kwa jinsi ulivyo mshamba eti ukaona bora ujiite jay456watt hiyo yote inaonyesha ni jinsi gani ulivyo maandazi...

Ni hivi hiyo hoja Mzee wa iphone7 a.k.a Collo aliiropoka tu bila uthibitisho kilichofanyika hapo ni uthibitisho wa kuonyesha kama alichokuwa anaongea Mzee wa iphone7 ni uwongo

Acha umburura
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hasira ya nini ndugu? sasa Jay Z anatokea wapi kwa battle ya dar vs mombasa?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hizi ni fikra za kimandazi mandazi
emoji23.png
emoji23.png
pngine nikusaidie kidogo...jina langu la kitambulisho ni Jay...mambo ya Jay Z sijui katokea puani
emoji23.png
emoji23.png
 
Asanteni sana wakenya 😀😀😀😀

AZAM TV YANG'ARA : Kampuni ya AZAM TV imeibuka kidedea katika kundi la televisheni za kulipia baada ya shindano lililohusisha kampuni nyingine nne za Afrika.

Tuzo hiyo ya ushindi imepokelewa na Azam Media Kenya Limited baada ya kushinda ingizo la kundi la digitali katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, Desemba 11 kwenye Hoteli ya Intercontinental.

Katika shindano hilo, ilizishinda Kwese TV, GOTV pamoja na Star Times.

Tuzo hizo ziliamuliwa kwa kura za umma kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwa kuchagua Televisheni ya kupilia pendwa miongoni mwa kampuni hizo nne.

Azam TV imeibuka mshindi katika kundi la Waendeshaji wa TV za Kulipia Bora zaidi.

IMG_1632.JPG
IMG_1633.JPG
IMG_1630.JPG
IMG_1631.JPG
 
I don't have the latest ngong road photos though.....this was 7 months ago. ...though I was on that road on Sunday and the intersection joining mbagathi road at KNH is out of this world.....those Japanese got some nice finish touches
0eda73ea8e6dac91b5f4318722eaf338.jpg
261dc1694b82009991ee1525904d3b65.jpg
c1b948279868e2135a625008b4e8859f.jpg
18aa300ff1fc63087944fb0b95680a75.jpg
3d359d85f5bba3edb83d161d01b07b46.jpg
62ea01a00d8aac28d9e312b1df8e486f.jpg
202302153608f2cef4b510c7a27a1ed3.jpg
9199981fbd2528a1f350d72c1256ebe1.jpg
236ca8b061d68f61c3ffb4c4e59e287d.jpg
 
ati mtu anapost tyrants and despots who have made their countries failed states in LDC category as alumni......oh Lord..!

Why can't researchers, notable academia..community champions or notable sports men be celebrated..?what kind of lazy outdated mentality is this ...smh
Wanaume hua atulii namna iyo,nilicheka sana uliposema umesoma uchumi sijui vidudu gani,
Walau uwe unagusia mada zinazolenga taaluma yako kidogo, utufunze sisi wa fani zingine,
Nne uhakika unaweza vyema kuandika kingereza kuliko mwalimu wangu, nami ntakufunza kuandaa makala kwa kisw
 
Hebu wekea hawa madwanzi picha za the new Ngong road uone vile watatokwa na povu...tafadhali buda kama unaweza get hizo mbisha.

Presidents of LDC countries... birds of a feather flock together.
hasira ya nini?...tuonyesheni international alumni wa vyuo vya kenya ambao baadae waliporejea katika nchi zao,waliteuliwa/walichaguliwa kushika nafasi kubwa kubwa katika nchi...msituletee porojo.

NB:

8503c470db912fe8fbece8edc53d47f0.jpg
423a2123685a5ac60eebe28f656055a7.jpg
e318bd88717f3bcead6f502e2e4f6e2b.jpg
 
Wanaume hua atulii namna iyo,nilicheka sana uliposema umesoma uchumi sijui vidudu gani,
Walau uwe unagusia mada zinazolenga taaluma yako kidogo, utufunze sisi wa fani zingine,
Nne uhakika unaweza vyema kuandika kingereza kuliko mwalimu wangu, nami ntakufunza kuandaa makala kwa kisw
 
Hapa sio kila mtanzania anaweza kufika bei. Weka picha za affordable yet accessible to all places....hizo hazijulikani na wengi nje ya JF mkuu, be reasonable.
Pole kwa maumivu bro😀😀😀😀
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hasira ya nini ndugu? sasa Jay Z anatokea wapi kwa battle ya dar vs mombasa?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hizi ni fikra za kimandazi mandazi
emoji23.png
emoji23.png
pngine nikusaidie kidogo...jina langu la kitambulisho ni Jay...mambo ya Jay Z sijui katokea puani
emoji23.png
emoji23.png
Hata mimi nashangaa
 
Asanteni sana wakenya 😀😀😀😀

AZAM TV YANG'ARA : Kampuni ya AZAM TV imeibuka kidedea katika kundi la televisheni za kulipia baada ya shindano lililohusisha kampuni nyingine nne za Afrika.

Tuzo hiyo ya ushindi imepokelewa na Azam Media Kenya Limited baada ya kushinda ingizo la kundi la digitali katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, Desemba 11 kwenye Hoteli ya Intercontinental.

Katika shindano hilo, ilizishinda Kwese TV, GOTV pamoja na Star Times.

Tuzo hizo ziliamuliwa kwa kura za umma kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwa kuchagua Televisheni ya kupilia pendwa miongoni mwa kampuni hizo nne.

Azam TV imeibuka mshindi katika kundi la Waendeshaji wa TV za Kulipia Bora zaidi.

View attachment 651303 View attachment 651305 View attachment 651306 View attachment 651307
Wanachukia kinoma noma wakenya
 
hasira ya nini?...tuonyesheni international alumni wa vyuo vya kenya ambao baadae waliporejea katika nchi zao,waliteuliwa/walichaguliwa kushika nafasi kubwa kubwa katika nchi...msituletee porojo.

NB:

8503c470db912fe8fbece8edc53d47f0.jpg
423a2123685a5ac60eebe28f656055a7.jpg
e318bd88717f3bcead6f502e2e4f6e2b.jpg
Same age with leaders of LDCs.
 
Back
Top Bottom