Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,414
- 3,679
ww uko na shida kubwa sana. hio Bank ya Rwanda hata ukienda kuomba kazi ya kufagia pekee yake hupati hata utumie mganga gani. kumbuka huyo ni Mkenya, tena CEO wa benki kubwa kabisa Rwanda.My friend mimi nimekuwekea ranks kubwa sana za UN wewe unaweka ma manager. Ona sasa hapo unaweka manager wa bank iliyoko Rwanda. You have to be serious my friend.
Anyways ngoja nikupigilie
Ninataka nyadhifa kama hizo. Ukiongelea managers wapo wengi sana hapa Tanzania. Hatuwezi hata kuwahesabu.
- Pro Ibrahimu Lipumba (Consultant of Ministry of Foreign Affairs Finland)
sijasema ulete Manager wa Acacia au Makinikia. Nilitaka ulete Tz's top brain Exports.