Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asanteni sana wakenya 😀😀😀😀

AZAM TV YANG'ARA : Kampuni ya AZAM TV imeibuka kidedea katika kundi la televisheni za kulipia baada ya shindano lililohusisha kampuni nyingine nne za Afrika.

Tuzo hiyo ya ushindi imepokelewa na Azam Media Kenya Limited baada ya kushinda ingizo la kundi la digitali katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, Desemba 11 kwenye Hoteli ya Intercontinental.

Katika shindano hilo, ilizishinda Kwese TV, GOTV pamoja na Star Times.

Tuzo hizo ziliamuliwa kwa kura za umma kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwa kuchagua Televisheni ya kupilia pendwa miongoni mwa kampuni hizo nne.

Azam TV imeibuka mshindi katika kundi la Waendeshaji wa TV za Kulipia Bora zaidi.

View attachment 651303 View attachment 651305 View attachment 651306 View attachment 651307
mtag wanjala....yule jamaa anaichukia sana azam tv...sijui ilimkosea nini.

wallah akipata taarifa hii,atakunywa sumu afe kuliko kubaki hai huku akishuhudia mafanikio ya azam tv.
 
Nchi ya Vibaka

02fce4639a04b6df0241d2ba7e438ead.jpg
 
Wanaume hua atulii namna iyo,nilicheka sana uliposema umesoma uchumi sijui vidudu gani,
Walau uwe unagusia mada zinazolenga taaluma yako kidogo, utufunze sisi wa fani zingine,
Nne uhakika unaweza vyema kuandika kingereza kuliko mwalimu wangu, nami ntakufunza kuandaa makala kwa kisw

Wewe ulisema uko na B.Sc in animal husbandry and insemination ama?

I am a CPA graduate and as well a B.Com Accounting graduate.......how might my professional input be needed in jf?be my guest
 
Harambee Stars are through to the
[HASHTAG]#CecafaKE2017[/HASHTAG] Final after beating Burundi 1-0 AET They'll meet the winner of tomorrow's semi final between Uganda and Zanzibar
 
Asanteni sana wakenya 😀😀😀😀

AZAM TV YANG'ARA : Kampuni ya AZAM TV imeibuka kidedea katika kundi la televisheni za kulipia baada ya shindano lililohusisha kampuni nyingine nne za Afrika.

Tuzo hiyo ya ushindi imepokelewa na Azam Media Kenya Limited baada ya kushinda ingizo la kundi la digitali katika sherehe zilizofanyika Jumatatu, Desemba 11 kwenye Hoteli ya Intercontinental.

Katika shindano hilo, ilizishinda Kwese TV, GOTV pamoja na Star Times.

Tuzo hizo ziliamuliwa kwa kura za umma kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) kwa kuchagua Televisheni ya kupilia pendwa miongoni mwa kampuni hizo nne.

Azam TV imeibuka mshindi katika kundi la Waendeshaji wa TV za Kulipia Bora zaidi.

View attachment 651303 View attachment 651305 View attachment 651306 View attachment 651307

what kind of backstreet awards are these..smh......natambua tu CNN African journalists awards...........hata mimi ofisini naonanga vikombe vingi vya awards unnecessary nauliza where do all these junk come from ama ni tender ya kumove juakali made accolades.....smh
 
Harambee Stars are through to the
[HASHTAG]#CecafaKE2017[/HASHTAG] Final after beating Burundi 1-0 AET They'll meet the winner of tomorrow's semi final between Uganda and Zanzibar

hiyo okombe lazma ibaki Kenya hahaha......Uganda watajua hawajui
 
what kind of backstreet awards are these..smh......natambua tu CNN African journalists awards...........hata mimi ofisini naonanga vikombe vingi vya awards unnecessary nauliza where do all these junk come from ama ni tender ya kumove juakali made accolades.....smh
Pumzika kaka usije patwa na presha bure😀😀
 
[HASHTAG]#Titi[/HASHTAG]..[HASHTAG]#TH14[/HASHTAG]....ashafika in the 254....weekend tukutaneni impala grounds.....
1f4c95418ca54192e9e539237dab5e82.jpg
 
what kind of backstreet awards are these..smh......natambua tu CNN African journalists awards...........hata mimi ofisini naonanga vikombe vingi vya awards unnecessary nauliza where do all these junk come from ama ni tender ya kumove juakali made accolades.....smh
hili povu sio la EA.
 
Wewe ulisema uko na B.Sc in animal husbandry and insemination ama?

I am a CPA graduate and as well a B.Com Accounting graduate.......how might my professional input be needed in jf?be my guest
Best students opt for Science,
Wewe kama umesoma B.Com I can understand.
No more question!
 
Harambee Stars are through to the
[HASHTAG]#CecafaKE2017[/HASHTAG] Final after beating Burundi 1-0 AET They'll meet the winner of tomorrow's semi final between Uganda and Zanzibar
Imagine Uganda (The cranes) wins,
Hahaha hahaha,
Again Imagine Zanzibar wins
Hahahaha!
 
Back
Top Bottom