Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Economic viability ya Kenyan SGR ni poor imagine ni mzigo gani heavy wenye volumes hutoka Kenya ama nchi jirani kwenda Mombasa port?
Unlike Tz we have gold ores, other mining outputs from Tanzania, Rwanda, Burundi and DRC all using Dar and Tanga port.
 
Walimaliza kufanyia kazi Products Sharing Agreement ambayo Magufuli alisimamisha mpaka waifanyie Kazi.

Mahaba Pembeni Gas ni rasmali inayoweza fanya Taifa litoboe na hakuna anayeweza fanya taifa linufaike isipokua viongozi wake na msimamo wa kilichobora.

Ukisoma hii article wapo busy kumkejeli lakini ukisoma wanachokejeli ni sahihi kwa maslahi mapana ya Nchi. Na every Africa country has its right to benefits from its resources


1000173953.jpg


Let's be sensible hili deal, hizo sheria wanazozinaga eti mbaya kwa wawekezaji ni ile sheria ya Permanent Sovereignty on Natural resources. Like seriously hiyo ni mbaya?
 
Inahitaji moyo sana kufanya mambo makubwa tena moyo wa chuma alafu kuna jitu linakuja hapa kukaza fuvu eti mkopo.





1000173956.jpg

1000173954.jpg


Yaani ungekuwa na moyo mwepesi ungeutupa huu mradi asee huku wapo kule wanachochea watalii wasije, kwingine wapo kulee kuwaambia investor kuhusu bad law sakata la ACACIA huku wanalalamika kua nchi itakua Masikini kwa kufund mradi baada ya Donor wote kuwa against it.

Yet 2024


View: https://youtu.be/pRU6w6gJmfw?si=JYcC_trXV8w1pc9E
 
Hilo sakata la ACACIA now Kuna TWIGA MINERALS


Benefits iliongezeka baadhi ya Leseni yao ilipunguzwa kanda ya ziwa ndio tukawa na Mgodi wa Kabanga Nickel
(TEMBO NICKEL)


Ndio maana nasema hakuna cha ADANI, DP WOLD tukiamua nchi inatoboa miradi yote hiyo inafiti hii quotes

“Beginning today, this will indicate Tanzania is an independent country… and not a poor country,”


Baada ya Kufungua jiwe la msingi la $3bn JNHP projects wholly funded by government licha ya kelele ya uchumi utaharibika
 
Watu wakiona Tunamkubali Magufuli wanajua tunaleta mahaba ya kisiasa. Ni Raisi gani anaweza himili that pressure nje ya Nyerere na hagive in no matter what?

Tulitabiriwa uchumi utaharibika na Mamiradi yetu yote inakula pesa hadi investors kutukimbia ila Now baada ya Miradi kukamilika Tupo tunaitwa promising nation to invest.

Damn. Hata SAMIA if kuna jema anaona kwa Nchi ashikilie hapo hapo huenda tukamuelewa baadae.

Maana ukisema uwaite wapinga JNHPP now hawana cha kuongea ule mgawo kabla haijaanza kuoperate uliwatia akili wote.
 
Inahitaji moyo sana kufanya mambo makubwa tena moyo wa chuma alafu kuna jitu linakuja hapa kukaza fuvu eti mkopo.





View attachment 3122386
View attachment 3122383

Yaani ungekuwa na moyo mwepesi ungeutupa huu mradi asee huku wapo kule wanachochea watalii wasije, kwingine wapo kulee kuwaambia investor kuhusu bad law sakata la ACACIA huku wanalalamika kua nchi itakua Masikini kwa kufund mradi baada ya Donor wote kuwa against it.

Yet 2024


View: https://youtu.be/pRU6w6gJmfw?si=JYcC_trXV8w1pc9E

Ingekua kwa manyang'au kama akina NairobiWalker wangewasikiliza wazungu kama walivyofanya enzi za covid wakajifungia ndani eti lockdown kwa sababu tu mzungu kasema, ha ha ha😁
 
Back
Top Bottom