Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivo kama commenters hawasupport inamaanisha haikufanyika?
Siku hizi umechoka sana mdogo wangu. Nakumbuka miaka ya 2017 na kurudi nyuma, nyundo za maana ulikuwa unazigonga, lakini kwa sasa umekuwa mdebwedo. Unamwaga mipasho ya kutosha kama demu akiwa kwenye siku zake.

Tuambie, bado ni wewe, yule yule wa SkyscraperCity na Nairaland.com?
 
Nionyeshe kama Kisumu imeflood nifunge account. (Na uonyeshe Kisumu City, sio Kano Plains ushagoo)🤣Alafu fananisha hiyo na hii yenu ya Moshi. Umejiaibisha sahii unatafuta pa kutokea.

Moshi drainage 🤣

View attachment 3121836
Usifananishe Moshi na vitu vya kijinga. Ujinga ujinga wenu mwisho Namanga.
 
Kisumu ikiletwa Tanzania will be the 2nd busiest airport after Mabati Rolling Mill.

Alafu mbona mnakuanga very lazy to do a simple research, hnani amekuambia Kisumu airport hakuna control Tower?
2nd kwa hiyo itapita Kilimanjaro international airport with over 1 min PAX n Zanzibar international airport about 2 min PAX?

Leta statistics to back up ur UKUNYA assertion! And name me one international flight landing at Kisumu local airport where no control tower exists!
 
Back
Top Bottom