babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,307
- 35,736
Unajitetea kama kawaida, Kampuni haijatuma watu kuua mtu.Kuna tofauti ya individual na kampuni. Individual person anaweza kuua bila sababu ila kampuni iliyosajiliwa kuua mtu kisa amemshinda kulipa deni la 15k inaonyesha nchi imefeli.