Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
🤣🤣Watanzania wengi huwa wanatamani kushika Ksh lakini uwezo ndio huwa hawana😂😂🤣
wanatamani kua kenya saana
🤣🤣Watanzania wengi huwa wanatamani kushika Ksh lakini uwezo ndio huwa hawana😂😂🤣
View attachment 3120957
Deck ya Mjerumani ileeeee!!!
Kuhost vichupi 🤣🤣hivyo tumewaachia
Tanzania ndio nchi ya kutokea africa inayotajwa mara nyingi huko hollywoodHuyo jamaa wa kwanza hata hajui Tanzania iko upande gani wa Africa😂😂😂🤣
Alafu everybody in that video hawajui anything about Tanzania😂😂🤣
Hadi wale wenye wamepick Tanzania doesn’t know anything in Tanzania 😂😂
DIT wanaunda bajaji za umeme wewe unazungumzia baiskeli za umeme!?Electric bikes made in Kenya
View attachment 3118793
Kufurahia jirani yetu anavyoanguka.
Gari imepaki ndio unaonyesha, dalili za kuishiwa point 😆😆
Sasa kwa nini bloggers wenu wanakuja Dar kushangaa mabasi ya brt. Huoni aibu wewe nyang'au?Super metro sacco electric busses
Common in Nairobi CBD
View attachment 3120967View attachment 3120968View attachment 3120969View attachment 3120970View attachment 3120971
DIT inaunda pikipiki na bajaji za umeme.EV gani? Bongolalas tumewazoea kwa propaganda. Ebu tuonyeshe hizo EV companies in bongoslum tucheke.
Chanzo cha habari ni Kenya!???
Ziko wapi? Ebu tuonyeshe kiwanda au zikiwa kwa barabara.DIT inaunda pikipiki na bajaji za umeme.
Na kuanzia mwaka 2025 wataanza mpango wa kwanza wa kubadili mifumo ya mabasi kuwa ya umeme,huko mbeleni kama mambo yataenda sawa wataanza kuunda mabas ya umeme.
Ziko wapi? Ebu tuonyeshe kiwanda au zikiwa kwa barabara.
View: https://youtu.be/-N_P_HEGCgg?si=h0iXmTvPx0t1qid9
Hizo zote unazoziona kuna ambazo zilibadilishwa mfumo na ambazo zimeundwa mwanzo hadi mwisho.
Kwahiyo hata kama una bajaji yako unaweza ipeleka Dar es salaam Institute of Technology ikabadilishwa mfumo ukawa wa CNG au umeme.
Hizo ni bajaji na pikipiki tu.Kama hizi ndio 5000 EV's. basi Kenya tuna 50,000. 🤣 🤣 🤣
![]()
Lakini google maps wanatambua charging station mbili pekee. 🤣 🤣Hizo ni bajaji na pikipiki tu.
Lete ushahidi wa Kenya kuwepo hizo 50k.
Maana Dar pekeake ukiona bajaji kumi jua 4-6 ni electric ama CNG.
Kuanzia 2025 tunakuja kwa magari aina zote.

Hanspaul car assembler wako na thousands tour cars za umeme. 👇🏾Kama hizi ndio 5000 EV's. basi Kenya tuna 50,000. 🤣 🤣 🤣
![]()