Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lakini google maps wanatambua charging station mbili pekee. 🤣 🤣 :EZclap:
Hiyo ni juu yako mazeh.
Wengi huchajia nyumbani kwao ama DIT.
Sasa unapozungumzia masuala ya charging station kwetu doesn't matter ilhali nyumbani access ya umeme upo.
Unapewa charger na mifumo yake yote unasepa nayo home.
 
Lakini google maps wanatambua charging station mbili pekee. 🤣 🤣 :EZclap:
IMG_2003.jpeg

Bado zipo mbili.?
 
Hizo ni bajaji na pikipiki tu.
Lete ushahidi wa Kenya kuwepo hizo 50k.
Maana Dar pekeake ukiona bajaji kumi jua 4-6 ni electric ama CNG.
Kuanzia 2025 tunakuja kwa magari aina zote.
Tuoneshe kwa picha tuone.☺️
 
Hizo ni bajaji na pikipiki tu.
Lete ushahidi wa Kenya kuwepo hizo 50k.
Maana Dar pekeake ukiona bajaji kumi jua 4-6 ni electric ama CNG.
Kuanzia 2025 tunakuja kwa magari aina zote.
Wewe Mr. Quack, why can’t you just post the pictures here instead of yapping around.
 
Chanzo cha habari ni Kenya!???
We kweli makalio.
What does a quack know about EV? So Kenyan outlet shouldn’t report anything about Kenya? The same news outlet ndio mmekuwa mkileta hapa incase iko na habari za kusifu Tanzania 😂😂
 
Hizi EV huwei kuzipata bongoslum hata jua iwake usiku hupati. 🤣 🤣

Porsche Taycan
Image


Tesla Model X

Image


Hyundai Ionic 5

Image


Rivian R1 T

Image
Majamaa hawana EV hata moja Tz, wangekuwa nazo wangeshazileta hapa mbio😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom