Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ukimuuliza mtu yeyote hapa Africa taifa la watu wakarimu majibu ni TZ mataifa mengine yatafuata. Kimsingi Tz inaweza kuwa hata top 10 in the world kwa kuwa na watu wakarimu. Nyie endeleeni kipa moyo na vitakwimu mnavyoandika huko twiter 😂😂😂
Indeed fukara wa JF. You do not need to wonder when such things are already happening. Enjoy.


View: https://youtu.be/zUw0Z-Tcsx4?si=tFzaevNFe-Ekumil
 
Tuweke tu simple, tukiamua kuweka per capita ya watu wanaotumia electric mobility kati ya Tanzania na Kunyaland una uhakika mtafika hata 5% ya Tanzania?
Tuonyeshe picha za hizo EV kwanza. Mbona tangu jana mmeshindwa kuziweka humu?😂😂
 
Indeed fukara wa JF. You do not need to wonder when such things are already happening. Enjoy.


View: https://youtu.be/zUw0Z-Tcsx4?si=tFzaevNFe-Ekumil

Huyo jamaa wa kwanza hata hajui Tanzania iko upande gani wa Africa😂😂😂🤣

Alafu everybody in that video hawajui anything about Tanzania😂😂🤣

Hadi wale wenye wamepick Tanzania doesn’t know anything in Tanzania 😂😂
 
Wanabalance GDPEeeee per Bichwa 😂
Baada ya kuona project kubwa zinaenda kwa pamoja,sgr phase 2,nyerere dam,brt phase 2,3 na 4 zote kwa pamoja,msalato na arusha airport kunyan wamegundua TZ GDP yetu ni kubwa si kama yao ya kwenye makaratasi,so now wamekuja na uzwazwa wa high IQ,wanadai wana high IQ but they are sleeping kwenye uchafu 😀
 
Tanzania sporting nation uchwara yaani team mbili pekee; Yanga na Simba, ukiongezea uchawi na jiji moja Dar is slum tulieni pembeni muonyeshwe the real sporting nation with different talents.,

City of Eldoret hosting international bike race🔥🔥🔥
FB_IMG_1728550416825.jpg

FB_IMG_1728550414311.jpg

FB_IMG_1728550401571.jpg

FB_IMG_1728550396808.jpg

FB_IMG_1728550388649.jpg

FB_IMG_1728550399154.jpg

FB_IMG_1728550408898.jpg
 
Back
Top Bottom