ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kila siku wewe nikurudia same pics bro huna kitu kipya kabisa
Kila siku wewe nikurudia same pics bro huna kitu kipya kabisa
huwa wana chemka tu kwa hio jotoSad.. Na venye coast jua huwa kali. The city management should so something
punguza hasira lakini bro😀😀😀jiji ni lile lile the best in east AfricaKila siku wewe nikurudia same pics bro huna kitu kipya kabisa
Usiharibu battle vile uliharibu ile ya Glass Buildings tafadhali. Lete Output ya Tz individuals making it big internationally.Nikekuwekea vigongo kwenye level ya UN.
saa hizi wamevalia makubadhi na yeboyebo kwa Cbd.huwa wana chemka tu kwa hio joto
Mkifkia level ile nilioweka pic bro naomba unitagapunguza hasira lakini bro😀😀😀jiji ni lile lile the best in east Africa
wachana na maneno ya kwenye khangaBangi mbaya anko atleast uwe unavuta ilokauka vizuri hiyo mbichi unayovutia chooni sio muda utadataa
Saa nyie mlivyo na viongoz wezi hayo madini si wangestaafisha ka mtu anastaafisha ardhi atashindwa madini yaliyo ndan ya ardhi haahaha mungu nae aliona mbaliUsiharibu battle vile uliharibu ile ya Glass Buildings tafadhali. Lete Output ya Tz individuals making it big internationally.
Niko na listi ya waKenya mia moja. Sisi hatuna madini wala mafuta bali tunatumia elimu na akili.
Twende kazi.
husika hapa ndugu.Bangi mbaya anko atleast uwe unavuta ilokauka vizuri hiyo mbichi unayovutia chooni sio muda utadataa
Kumbe unafahamu hilo, mbona alipofika mzungu mkakidharau na kuthamini lugha yao, mzungu aliwachomeka kitu gani kilichowachanganya?
Kha!! Mnataka hivyo mbona mtakimbia?Usiharibu battle vile uliharibu ile ya Glass Buildings tafadhali. Lete Output ya Tz individuals making it big internationally.
Niko na listi ya waKenya mia moja. Sisi hatuna madini wala mafuta bali tunatumia elimu na akili.
Twende kazi.
Karibu Kenya. Unaruhusiwa kuoa/ kuolewa na pia kumiliki kipande cha ardhi milele na mileleSaa nyie mlivyo na viongoz wezi hayo madini si wangestaafisha ka mtu anastaafisha ardhi atashindwa madini yaliyo ndan ya ardhi haahaha mungu nae aliona mbali
mimi na ww. H2H. hakuna kupindisha madaKha!! Mnataka hivyo mbona mtakimbia?
Makinika bro.... Bring me Tanzania's finest top brains in international organizations/ institutionsTwende kazi:
Golden Plaza
![]()
Haueleweki unachotaka. Umesema nikuoneshe glass buildings. Vipi tena. Umesema nimehamisha mada. Twende kwenye glass buildings mbona wewe umeanza kuhamisha goli?Makinika bro.... Bring me Tanzania's finest top brains in international organizations/ institutions
Ardhi ambayo ishamilikiwa na wenyewe hahahaha afu nani aoe kenya wanawake na wanaume Sura moja ChaaaaKaribu Kenya. Unaruhusiwa kuoa/ kuolewa na pia kumiliki kipande cha ardhi milele na milele
Tazara railway station by indaressalaam, on FlickrKwan I&M bank ni ya wakenya. PatheticDar es salaams left right and centre a Kenyan company lazima.
Battle ya Glass Buildings tulitoka kitambo na unakumbuka ulivyoiharibu baada ya kulemewa. Nimekwambia usijaribu kuharibu hii battle ingine tunaanza mimi na weweTPA Tower
Haueleweki unachotaka. Umesema nikuoneshe glass buildings. Vipi tena. Umesema nimehamisha mada. Twende kwenye glass buildings mbona wewe umeanza kuhamisha goli?