Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa mmekwama wa-Nigeria ni wapole sana ila sisi mmekwama hamuoni tumeshawaelemea.
Nyinyi mpo aggressive na mnapenda matusi lakini mmetukuta sisi tuna wa-counter na facts.
 
Wapi render ya pinnacle😀😀😀😀😀
Najua umejikojolea hapa
8381d15d20c19e98bf735f2c7ddd14b1.jpg
 
Kiswahili kimewasaidia kutoka kati ya LCD countries? Kimewasaidia kukomboa ndege yenu toka kwa wazungu? Kimewasaidia kukwamua meli yenu toka kwa wakenya?
Kenya: Sexual Violence Marred Elections
Kimetusaidia kuwa na polisi wasiobaka wananchi, kimeondoa ukabila, kinmeondoa njaa, kimemaliza slums, kimepunguza umasikini, taifa lina amani sio kama ninyi polisi wanabaka wakenya bila huruma
 
Kiswahili sio tamaduni yenu babaa...Wachina ni wachina juu hawana kabila lingine vile vile warusi, wajerumani nk nyie mna makabila mengi mbona huzingatii Kisukuma, kihehe, kinyamwenzi nk?
Huo ndio upumbavu wenu wakenya. Ndiyo maana mnagombana kila siku kwa issue hizi hizi.
Nakutaka ujaribu kuwa na utafiti kidogo.
Kiswahili kimetokana na lugha za kibantu, muundo wa sentensi na maneno mengi kwenye lugha ya kiswahili yametokana na wabantu.
Kwa hiyo ni upumbavu kutukuza uzungu na kutukana uafrika. Ni wakenya pekee wenyetabia za kijinga namna hiyo.
 
Back
Top Bottom