COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
machakos county
nichanue niya tanzania?Kwan I&M bank ni ya wakenya. Pathetic
The city view from rooftop Akira lounge by indaressalaam, on FlickrNdio, Michael Shirima of Tanzania owns 4.97% This is the Founder of Precision Air.nichanue ni ya tanzania?
To a uchafu apoTazara railway station by indaressalaam, on Flickr
lol!!! mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? Battle ilianza jana, nikakwambia leo ndio nitakuwa na nafasi.Haya twende sasa mimi na wewe unataka battle gani. Chagua.
Tower mbili
Hiyo ni misemo ya kiswahili kwa ajili ya kukoleza mazungumzo, zinaitwa ngeli za kiswahilisasa mbuzi anakujaje kwa ii thread?

Ha haa safi sana umemtwanga good QNKwan I&M bank ni ya wakenya. Pathetic
Afadhali yah msa ya dar ni Mara mbili yah msaSad.. Na venye coast jua huwa kali. The city management should so something
utaacha ujingaNdio, Michael Shirima of Tanzania owns 4.97% This is the Founder of Precision Air.
Ungana naye muanzishe bendi ya TaarabHiyo ni misemo ya kiswahili kwa ajili ya kukoleza mazungumzo, zinaitwa ngeli za kiswahili![]()
Okay. Weka orodha ya hao watu wakubwa hapa. Samahani nilikuwa sijakuelewa. Weka orodha hapa ya watu watano.lol!!! mbona unakuwa mgumu wa kuelewa? Battle ilianza jana, nikakwambia leo ndio nitakuwa na nafasi.
Pitia thread za nyuma... Leo nilipoingia nimekuita mara kadhaa na nikakuwekea waKenya watatu. Nasubiri jibu lako ili tuweze kusonga mbele