Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
kwnza futa machozi haya uliza sasa😀😀😀😀😀density nzuri ila mbona barabara zimeparara kana kwamba sio CBD?😀😀
Bringing down town then unasema cbd
Kiswahili kilianzia maeneo ya pwani ya Kenya [Kilifi na Lamu].Huo ndio upumbavu wenu wakenya. Ndiyo maana mnagombana kila siku kwa issue hizi hizi.
Nakutaka ujaribu kuwa na utafiti kidogo.
Kiswahili kimetokana na lugha za kibantu, muundo wa sentensi na maneno mengi kwenye lugha ya kiswahili yametokana na wabantu.
Kwa hiyo ni upumbavu kutukuza uzungu na kutukana uafrika. Ni wakenya pekee wenyetabia za kijinga namna hiyo.
😀😀😀kwnza futa machozi haya uliza sasa😀😀😀😀😀
Does Dar have a recreation area...ama ni kwenda tu beach![]()
just a calm day at the city under th sun
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nikekuwekea vigongo kwenye level ya UN.2. Kenyan National Rosemary Mukami Kariuki Appointed World Bank Country Manager for Zimbabwe View attachment 650816
R. Mukami Kariuki is Country Manager for Zimbabwe. She was previously a Lead Specialist for Water Supply and Sanitation in Sub-Saharan Africa, working largely in Southern Africa; Practice Manager for Urban Development for Sub-Saharan Africa; and Sector Manager for Urban and Water in East and Southern Africa. She has also been a Global Lead for Urban Development and Poverty; Sector Lead for Tanzania, Burundi, and Uganda; and Program Coordinator for Local Government in the Philippines.
A regional and urban planner by training, Kariuki has more than 20 years’ experience in development planning, local government and decentralization, infrastructure development, water supply and sanitation, climate change and disaster risk management. She has written or co-authored papers, articles, newsletters and blogs, including the World Bank’s Water Sector Strategy, 2003; the World Bank strategy, “Harnessing Urbanization to end Poverty and Boost Prosperity in Africa: An Action Agenda for Transformation;” “Local Private Providers of Water and Energy Services;” and “Water for the Urban Poor: Water Markets, Household Demand, and Service Preferences in Kenya.”
www.worldbank.org/en/about/people/r/r-mukami-kariuki
hawana...CBD kwanza hata haina miti walikata zote...Does Dar have a recreation area...ama ni kwenda tu beach
Kumbe unafahamu hilo, mbona alipofika mzungu mkakidharau na kuthamini lugha yao, mzungu aliwachomeka kitu gani kilichowachanganya?Kiswahili kilianzia maeneo ya pwani ya Kenya [Kilifi na Lamu].
kwan hapo umeona uchafu, bro be serious😀😀😀😀😀😀😀😀
barabara za CBD zinafaa zikae safi...sio hizo znu zimeparara kama za estate alafu unaona PSPF unashtuka kumbe ni CBD
![]()
![]()
![]()
![]()
Hujui historia ya kiswahili wewe. Biashara za pwani zimeanzia kilwa. Tena kilwa walikuwa na sarafu yao. Soma historia ya Azania ndio uelewe. Kama unataka nikupatie historia njoo kwa adabu.Kiswahili kilianzia maeneo ya pwani ya Kenya [Kilifi na Lamu].
Bangi mbaya anko atleast uwe unavuta ilokauka vizuri hiyo mbichi unayovutia chooni sio muda utadataaKiswahili kilianzia maeneo ya pwani ya Kenya [Kilifi na Lamu].
Sad.. Na venye coast jua huwa kali. The city management should so somethinghawana...CBD kwanza hata haina miti walikata zote...