The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hawa ndiyo maana mpaka leo hawana even a single CAF approved stadium, imagine wamepoteza pesa kujenga huu ushuzi na wanataka wapewe approval πππ€£π€£π€£π€£Hizo taa siyo za footbal ni za sherehe za matamasha ya mziki.
In Kenya there is no stadium with lights to play football
View attachment 3116010
π€£ π€£ π€£ π π π
View attachment 3116015
Wameweka chemli kwa ajili ya tamasha anakuambia ni kwa ajili ya mechi, mbn hakuna wachezaji sasa π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Viwanja vingi alivyoweka humu havifiki hata 5000 capacity, jamaa wababaishaji kinoma π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£