Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe utaanza kuokota makopo baada ya kugundua Kenya mumeachwa nyuma katika mambo mengi, suluhisho sio kutoa povu, kaeni chini mjiulize ni kwa jinsi gani mtaweza kurekebisha
1)Utalii wenu uweze kuongeza mapato
2)Ukuaji wa uchumi angalau ufikie 6%
3)Kuongeza uzalishaji wa chakula ili kupunguza njaa, na kupunguza utegemezi wa chakula toka Tanzania
4)Kupunguza kiwango cha unemployment kiwe chini ya 30%
5)Kupunguza rushwa inayozamisha uchumi wenu
6)Kupambana na tribalism
7) Kupambana na insecurity

Achane kujilinganisha na nchi iliyotulia na inayopiga hatua kwa kasi sana, hii ni China ya Africa, peaceful, stable economy growth, no hunger, no tribalism, no corruption, low level of poverty, nani asiyependa kuja kuishi Bongo?
 
sio kwa kuja kuishi kwa umasikini na uchochole
 
Bona mlialia ati kenya kuna njaa na so tuko stable.........ati China....juu ya tower mbili ama
 
Nani aliazisha iii thread..c.nyie..wa daganyikas na mdai eti wakenya....iyo c n ushamba
 
Bona mlialia ati kenya kuna njaa na so tuko stable.........ati China....juu ya tower mbili ama
Rais wenu mwenyewe amekiri juzi siku ya Jamhuri kwamba kipaumbele cha kwanza katika kipindi hiki cha uongozi ni kupambana na njaa, wewe unataka kukataa hamna njaa Kenya?
 
Rais wenu mwenyewe amekiri juzi siku ya Jamhuri kwamba kipaumbele cha kwanza katika kipindi hiki cha uongozi ni kupambana na njaa, wewe unataka kukataa hamna njaa Kenya?
Iyo ni porojo zako.nitajie wakenya wana njaa. Achana na maneno yah raid we2
 
Case closed here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…