Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio gari rasmi ya police, Wengine huwa wana hadi Toyota Noah. Hizi huwa wanapewa tu na serikali baada ya wamiliki kushindwa kuzilipia au zilifanyiwa magendo zikataifishwa.
Hilo haliondoi aibu ya polisi kutumia probox. Hapa Kenya magari mengi yanakuwa repossessed na serikali ila yanapigwa mnada. Hawapewi askari. Hii ni aibu.
 
Back
Top Bottom