buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Kwa mwendo huu wa kukusanya picha za ndani ndani na kuita CBD inaonesha umekosa ulichotegemea kukuta mjini, Imagine mji kama moshi unakufanya utumie picha za TARAKEA Dar je?Mimi nipo Moshi. Wewe Nina uhakika hujawai kanyaga Moshi. Tulia nikueleze. 🤣🤣